Polepole: Zitto Kabwe chama kina mfia ndio maana anatapatapa

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,409
20,759

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Ndg Humphrey Polepole amerusha jiwe gizani kwa Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Kabwe kwamba anajua wakati huu anapitia wakati mgumu sana ndani ya chama ndiyo maana anatapatapa katika suala la makubaliano kati ya serikali na Kampuni ya Uchimbaji madini ya Barrick.

Akifanya mazungumzo ndani ya Ofisi yake na EATV, Polepole amesema kwamba kitendo cha Mbunge huyo kitendo cha Mbunge huyo kwenda kuzungumza kwenye chombo cha habari na kuuhadaa umma kwamba madini yataendelea kuwa madini ya watu wa nje, yeye hana tatizo naye kwani anafahamu wazi kwamba chama kinaenda kumfia hivyo watu wamuelewe..

"Naomba mumuelewe huyu bwana, anapitia wakati mgumu. Chama kinamfia tumuelewe sana. Watu wote wenye uelewa mpana walioshiriki katika kukianziasha chama wote wameondoka na wameondoka kwa masikitiko ya kwamba chama kimepoteza dira. Asubiri kuona matokeo ya maendeleo yanayoletwa na serikali. Mfama maji haishi kutapatapa ni sehemu ya asili ya ubinadamu. Namwambia asubiri kuona maendeleo yatakuja kutokana na makubaliano haya makubwa" Polepole.

Aidha Polepole amesema kwamba Zitto ameshiriki katika kutunga sheria tatu ndani ya Bunge kuhusu madini kisha akaenda ulaya kusema kwamba madini yatazidi kuchukuliwa na wageni ni kuuhadaa umma kwani katika sheria waliyoitunga ilikuwa ni ya kutamka kwamba madini yaliyopo ardhini ni mali ya watu wa Tanzania.

Ameongeza pia Sheria ya pili Mh. Kabwe aliyoshiriki ni pamoja na ile ya Kuipa Mamlaka Bunge kutazama masuala ya madini vizuri na sheria ya tatu ikiwa ni kuboresha sheria za kodi ikiwa mapato na bima lakini kwa sababu chama kinaenda kumfia hivyo hataweza kuacha kudandia hoja hata kama hazina mashiko.

Mpekuzi
 
zitto kapoteza mwelekeo hakuna anachokisimamia ndoo kama wale wanaosema maisha yao yako hatarini nassary na mlema hawana wanachokifanya majimboni mwao kutwa nzima nikulalamika democracy walishaona 2020 majimbo yao yatachukuliwa na chama tawala baada ya serikali iliyopo madarakani kuwahudumia wananchi ipasavyo
 
Zitto naye apunguze kubwabwaja mwishowe tutakuchoka, amekuwa kama msaniii kukaa na kufikiria atokeje ili asikike kwenye media na kitu kipya, Brother Zitto tambua una watu wengi sana nyuma yako ambao wako na itikadi za vyama tofauti na wengine walikuwa wakichukulia wewe kama role mode wao, So tabia ulizozianzisha za UROPOKAJI zinatuacha njia panda. Lkn niliwahi kuuliza humu jukwaaani kwamba tangu Zitto apate jiko/aoe amekuwa Mkurupukaji sana. Nitakuja kwa mifano punde...
 
Huyu Chakubanga pamoja na mapungufu ya Zitto lakini KAMWE hawezi kupambana na Zitto kiakili wala kwenye kujenga hoja. Kachokoza mpambano sasa ngoja Zitto amuaibishe. Na Zitto yuko sawa kwamba rasilimali za Taifa bado haziwanufaishi Watanzania.

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Ndg Humphrey Polepole amerusha jiwe gizani kwa Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Kabwe kwamba anajua wakati huu anapitia wakati mgumu sana ndani ya chama ndiyo maana anatapatapa katika suala la makubaliano kati ya serikali na Kampuni ya Uchimbaji madini ya Barrick.

Akifanya mazungumzo ndani ya Ofisi yake na EATV, Polepole amesema kwamba kitendo cha Mbunge huyo kitendo cha Mbunge huyo kwenda kuzungumza kwenye chombo cha habari na kuuhadaa umma kwamba madini yataendelea kuwa madini ya watu wa nje, yeye hana tatizo naye kwani anafahamu wazi kwamba chama kinaenda kumfia hivyo watu wamuelewe..

"Naomba mumuelewe huyu bwana, anapitia wakati mgumu. Chama kinamfia tumuelewe sana. Watu wote wenye uelewa mpana walioshiriki katika kukianziasha chama wote wameondoka na wameondoka kwa masikitiko ya kwamba chama kimepoteza dira. Asubiri kuona matokeo ya maendeleo yanayoletwa na serikali. Mfama maji haishi kutapatapa ni sehemu ya asili ya ubinadamu. Namwambia asubiri kuona maendeleo yatakuja kutokana na makubaliano haya makubwa" Polepole.

Aidha Polepole amesema kwamba Zitto ameshiriki katika kutunga sheria tatu ndani ya Bunge kuhusu madini kisha akaenda ulaya kusema kwamba madini yatazidi kuchukuliwa na wageni ni kuuhadaa umma kwani katika sheria waliyoitunga ilikuwa ni ya kutamka kwamba madini yaliyopo ardhini ni mali ya watu wa Tanzania.

Ameongeza pia Sheria ya pili Mh. Kabwe aliyoshiriki ni pamoja na ile ya Kuipa Mamlaka Bunge kutazama masuala ya madini vizuri na sheria ya tatu ikiwa ni kuboresha sheria za kodi ikiwa mapato na bima lakini kwa sababu chama kinaenda kumfia hivyo hataweza kuacha kudandia hoja hata kama hazina mashiko.

Mpekuzi
 
zitto kapoteza mwelekeo hakuna anachokisimamia ndoo kama wale wanaosema maisha yao yako hatarini nassary na mlema hawana wanachokifanya majimboni mwao kutwa nzima nikulalamika democracy walishaona 2020 majimbo yao yatachukuliwa na chama tawala baada ya serikali iliyopo madarakani kuanza kuwahonga mahela wananchi ipasavyo

umenena mkuu!
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Ndg Humphrey Polepole amerusha jiwe gizani kwa Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Kabwe kwamba anajua wakati huu anapitia wakati mgumu sana ndani ya chama ndiyo maana anatapatapa katika suala la makubaliano kati ya serikali na Kampuni ya Uchimbaji madini ya Barrick.

Akifanya mazungumzo ndani ya Ofisi yake na EATV, Polepole amesema kwamba kitendo cha Mbunge huyo kitendo cha Mbunge huyo kwenda kuzungumza kwenye chombo cha habari na kuuhadaa umma kwamba madini yataendelea kuwa madini ya watu wa nje, yeye hana tatizo naye kwani anafahamu wazi kwamba chama kinaenda kumfia hivyo watu wamuelewe..

"Naomba mumuelewe huyu bwana, anapitia wakati mgumu. Chama kinamfia tumuelewe sana. Watu wote wenye uelewa mpana walioshiriki katika kukianziasha chama wote wameondoka na wameondoka kwa masikitiko ya kwamba chama kimepoteza dira. Asubiri kuona matokeo ya maendeleo yanayoletwa na serikali. Mfama maji haishi kutapatapa ni sehemu ya asili ya ubinadamu. Namwambia asubiri kuona maendeleo yatakuja kutokana na makubaliano haya makubwa" Polepole.

Aidha Polepole amesema kwamba Zitto ameshiriki katika kutunga sheria tatu ndani ya Bunge kuhusu madini kisha akaenda ulaya kusema kwamba madini yatazidi kuchukuliwa na wageni ni kuuhadaa umma kwani katika sheria waliyoitunga ilikuwa ni ya kutamka kwamba madini yaliyopo ardhini ni mali ya watu wa Tanzania.

Ameongeza pia Sheria ya pili Mh. Kabwe aliyoshiriki ni pamoja na ile ya Kuipa Mamlaka Bunge kutazama masuala ya madini vizuri na sheria ya tatu ikiwa ni kuboresha sheria za kodi ikiwa mapato na bima lakini kwa sababu chama kinaenda kumfia hivyo hataweza kuacha kudandia hoja hata kama hazina mashiko.

Mpekuzi
Pole pole uwezo wa kujibu hoja ni mdogo sana
 
Asubiri kuona matokeo ya maendeleo yanayoletwa na serikali.

Kumbe tunapaswa kusubiri: mpaka lini? Miaka 2 imeondoka hiyo kwa kuwa na live coverages na publicity stunts tu!

Aidha Polepole amesema kwamba Zitto ameshiriki katika kutunga sheria tatu ndani ya Bunge kuhusu madini kisha akaenda ulaya kusema kwamba madini yatazidi kuchukuliwa na wageni ni kuuhadaa umma kwani katika sheria waliyoitunga ilikuwa ni ya kutamka kwamba madini yaliyopo ardhini ni mali ya watu wa Tanzania.

Ameongeza pia Sheria ya pili Mh. Kabwe aliyoshiriki ni pamoja na ile ya Kuipa Mamlaka Bunge kutazama masuala ya madini vizuri na sheria ya tatu ikiwa ni kuboresha sheria za kodi ikiwa mapato na bima lakini kwa sababu chama kinaenda kumfia hivyo hataweza kuacha kudandia hoja hata kama hazina mashiko.

Huyu chakubanga a.k.a popo Polepole haelewi kwamba wanaotunga sheria ni wabunge wa CCM? Au anajisahaulisha kwamba asilimia 70+ ya Bunge ni maCCM tu!!
 
Zitto ni yupo Sakaramauti ya Kisiasa
Mwambieni dalali wa nyumba za umma. Aruhusu mikutano halali ya kisiasa yeye na zitto washindane kwa hoja majukwaani co kufungia magazetini ndo uje useme zitto kaisha ama vipi
 
Zitto si alisema tusipomdhibiti Rais Yeye na Wahuni wenzie wanaweza kumdhibiti sasa kumdhibiti Kwenyewe ndo kumuomba aruhusu Mikutano!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom