Polepole: Zitto Kabwe chama kina mfia ndio maana anatapatapa

Zitto si alisema tusipomdhibiti Rais Yeye na Wahuni wenzie wanaweza kumdhibiti sasa kumdhibiti Kwenyewe ndo kumuomba aruhusu Mikutano!
Kuruhusu mikutano ni sehemu ya kumdhibiti ndio kwakuwa hii itamwezesha kujua nn maana ya utawala wa sheria mfano atalazimika kutangaza mali na madeni yake anayomiliki hapa nchini. Hujawahi jiuliza kwann mpaka leo huyu hajawahi kutangaza mali zake? Hujawahi kujiuliza kwann huwq haongelei kile kivuko kibovu kilichopelekwa jeshini, kwann hazungumzii kuzid kupungua kwa idadi ya wanufaika wa mikopo vyuoni, pia hujawahi jiuliza kwann huyu anawadanganya watumishi
Dhibitini ili arekebishe haya sio kufungia magazeti na vitisho kwa watu wake
 
zitto kapoteza mwelekeo hakuna anachokisimamia ndoo kama wale wanaosema maisha yao yako hatarini nassary na mlema hawana wanachokifanya majimboni mwao kutwa nzima nikulalamika democracy walishaona 2020 majimbo yao yatachukuliwa na chama tawala baada ya serikali iliyopo madarakani kuwahudumia wananchi ipasavyo
Wakakupime wewe!
 
Mumeliamsha dude,mkijibiwa msitumie mbinu zisizojulikana hoja kwa hoja.Pole *2 mweupe sana Zitto huwa anaweka hata data za uchumi wewe unajibu kwa kuropoka na mbinu zisizojulikana.
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Ndg Humphrey Polepole amerusha jiwe gizani kwa Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Kabwe kwamba anajua wakati huu anapitia wakati mgumu sana ndani ya chama ndiyo maana anatapatapa katika suala la makubaliano kati ya serikali na Kampuni ya Uchimbaji madini ya Barrick.

Akifanya mazungumzo ndani ya Ofisi yake na EATV, Polepole amesema kwamba kitendo cha Mbunge huyo kitendo cha Mbunge huyo kwenda kuzungumza kwenye chombo cha habari na kuuhadaa umma kwamba madini yataendelea kuwa madini ya watu wa nje, yeye hana tatizo naye kwani anafahamu wazi kwamba chama kinaenda kumfia hivyo watu wamuelewe..

"Naomba mumuelewe huyu bwana, anapitia wakati mgumu. Chama kinamfia tumuelewe sana. Watu wote wenye uelewa mpana walioshiriki katika kukianziasha chama wote wameondoka na wameondoka kwa masikitiko ya kwamba chama kimepoteza dira. Asubiri kuona matokeo ya maendeleo yanayoletwa na serikali. Mfama maji haishi kutapatapa ni sehemu ya asili ya ubinadamu. Namwambia asubiri kuona maendeleo yatakuja kutokana na makubaliano haya makubwa" Polepole.

Aidha Polepole amesema kwamba Zitto ameshiriki katika kutunga sheria tatu ndani ya Bunge kuhusu madini kisha akaenda ulaya kusema kwamba madini yatazidi kuchukuliwa na wageni ni kuuhadaa umma kwani katika sheria waliyoitunga ilikuwa ni ya kutamka kwamba madini yaliyopo ardhini ni mali ya watu wa Tanzania.

Ameongeza pia Sheria ya pili Mh. Kabwe aliyoshiriki ni pamoja na ile ya Kuipa Mamlaka Bunge kutazama masuala ya madini vizuri na sheria ya tatu ikiwa ni kuboresha sheria za kodi ikiwa mapato na bima lakini kwa sababu chama kinaenda kumfia hivyo hataweza kuacha kudandia hoja hata kama hazina mashiko.

Mpekuzi
Kama ni kweli wamelioteuliwa na rais waliondoka kwa sababu aliyoisema inamaana walihongwa! wakateuliwa.
 
Zitto amekua Hayawani yeye sasa, baada ya Lisu
Usije ukawa wewe ndio hayawani wa kusifia kila kitu hata ukidanganywa unakenua tu! Zitto na lissu hawapo kama wewe! Wamesema kuhusu madini, nyumba za umma, richmond, epa, kagoda, lugumi, kivuko nk. Wewe ulishasema lipi hata uwaite mahayawani
 
Polepole hakumbuki ya kwake ya kujifanya kuwa pamoja na wananchi kwenye mchakato wa katiba,baada ya kulambishwa asali na CCM wananchi hawakuwa kitu tena isipokuwa CCM.
 
Aondoe njaa yake hapa,spika wao si ndiye anayebana mijadala yenye maslahi mapana kwa Taifa akishirikiana na lichama lao la wizi,linapitisha mambo wakiwa wamewafukuza.
 
"Naomba mumuelewe huyu bwana, anapitia wakati mgumu. Chama kinamfia tumuelewe sana. Watu wote wenye uelewa mpana walioshiriki katika kukianziasha chama wote wameondoka na wameondoka kwa masikitiko ya kwamba chama kimepoteza dira. Asubiri kuona matokeo ya maendeleo yanayoletwa na serikali. Mfama maji haishi kutapatapa ni sehemu ya asili ya ubinadamu. Namwambia asubiri kuona maendeleo yatakuja kutokana na makubaliano haya makubwa" Polepole.

Hili la kweli. Maana anajua nani walikuwa wafadhili wa kimkakati na kwa vile mission done basi Chama hakifai kuendelea kuwapo!
 
Huwa nasema majibu ya polepole Ni mepesi mno unaulizwa swali unajibu tofauti na swali..hivi ameulizwa muelekeo WA ACT au?unajibu kitoto mno
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Ndg Humphrey Polepole amerusha jiwe gizani kwa Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Kabwe kwamba anajua wakati huu anapitia wakati mgumu sana ndani ya chama ndiyo maana anatapatapa katika suala la makubaliano kati ya serikali na Kampuni ya Uchimbaji madini ya Barrick.

Akifanya mazungumzo ndani ya Ofisi yake na EATV, Polepole amesema kwamba kitendo cha Mbunge huyo kitendo cha Mbunge huyo kwenda kuzungumza kwenye chombo cha habari na kuuhadaa umma kwamba madini yataendelea kuwa madini ya watu wa nje, yeye hana tatizo naye kwani anafahamu wazi kwamba chama kinaenda kumfia hivyo watu wamuelewe..

"Naomba mumuelewe huyu bwana, anapitia wakati mgumu. Chama kinamfia tumuelewe sana. Watu wote wenye uelewa mpana walioshiriki katika kukianziasha chama wote wameondoka na wameondoka kwa masikitiko ya kwamba chama kimepoteza dira. Asubiri kuona matokeo ya maendeleo yanayoletwa na serikali. Mfama maji haishi kutapatapa ni sehemu ya asili ya ubinadamu. Namwambia asubiri kuona maendeleo yatakuja kutokana na makubaliano haya makubwa" Polepole.

Aidha Polepole amesema kwamba Zitto ameshiriki katika kutunga sheria tatu ndani ya Bunge kuhusu madini kisha akaenda ulaya kusema kwamba madini yatazidi kuchukuliwa na wageni ni kuuhadaa umma kwani katika sheria waliyoitunga ilikuwa ni ya kutamka kwamba madini yaliyopo ardhini ni mali ya watu wa Tanzania.

Ameongeza pia Sheria ya pili Mh. Kabwe aliyoshiriki ni pamoja na ile ya Kuipa Mamlaka Bunge kutazama masuala ya madini vizuri na sheria ya tatu ikiwa ni kuboresha sheria za kodi ikiwa mapato na bima lakini kwa sababu chama kinaenda kumfia hivyo hataweza kuacha kudandia hoja hata kama hazina mashiko.

Mpekuzi
Wote ni waha hao wanajuana.

Lakini kweli Zitto amwkosa mwelekeo kwa siku za hivi karibuni
 
Naharibu kumtazama zito na kile amesema wala havilingani,ivi Sheria zilizotungwa juzi tu anadhani tumeshasahau kama zinasema madini yaliyopo kwenye Ardhi ya Tanzania ni yetu??? Au anafikiri atatudanganya tena tulimaso tujatwabhambuse Mwenye data.
 
Anafikiri na kuwaza pole pole sana, wazazi wake hawakumtendea haki kumuita jina hilo, limesadifu matendo yake yote...

Tafadhali leta hoja, na si maneno ambayo haya maana, mnaogopa kuandika majina yenu sahihi kwa kuwa huna mchango wowote ule kwa maendeleo ya Taifa letu, ila kwa matusi na kashfa ndo zenu hizo.
 
Sijaona sehemu ambayo polepole amemjibu zitto kuhusu mapato ya serekali kushuka,gharama halisi za kujenga hostel za chuo,kuhusu pesa za barick kukatwa $200m kma VAT,mkopo wa riba kubwa kutoka bank ya creditsuisse,niseme inatosha kwa leo.hayo ndo mambo watu wenye uelewa wa mambo wangependa kuyasikia.sio majungu ya chama kufa.kumbuka zitto ndo mbunge pekee wa ACT.sijaelewa polepole anataka nn kwa zitto.ongea kwa kujibu hoja.huu cio wakati wa majungu...
 
Back
Top Bottom