Huyu ni chizi hana issue"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Baada ya yeye kutolewa kwenye system ndiyo anaona kuna kukosoa serikaliUtaratibu wa kuikosoa serikali umeanza lini? Au tukubaliane kwamba ni utamaduni mpya?
Aache unafiki ajue wakati wake ulishapita yy mbona hakuwai kukosoa awam ya 5 wakati watu wakipotea amuache mama aongoze nchi tunaamina mama ipo siku atatuachia katiba mpya kabla ya kumaliz mihura yake #tunataka katiba mpya"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Huyu bado mnamsikiliza?"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Hiki kijamaa kinafiki. mbona alipokuwa ndani ya ulaji hakuyaona haya anayaona haya baada ya kutemwa? Kwani serikali aliyokuwa akiitumikia ilikuwa haikosei?"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Huyu ni wakuondoa kwenye jamii, mjinga sanaHiki kijamaa kinafiki. mbona alipokuwa ndani ya ulaji hakuyaona haya anayaona haya baada ya kutemwa? Kwani serikali aliyokuwa akiitumikia ilikuwa haikosei?
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Kuna anayeendelea kumuamini huyu jamaa? Binafsi naona amekosa mvuto na ushawishi wa kisiasa kwa ndimi zake mbili mbili."Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Huyu Ni polepole,mpumbavu aliyedhani ameiondoa demo"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Chief upo?Nyani hakupata kuona kund*le
Kama kuna ishu hawa watu hawawezi kuaminika ni kupigwa risasi Lissu na yaliyoendelea baada ya tukio lile, ilibidi wakae kimya kwa sasa kama BashiruKuna anayeendelea kumuamini huyu jamaa? Binafsi naona amekosa mvuto na ushawishi wa kisiasa kwa ndimi zake mbili mbili.
Kipindi cha mwendazake hakuwahi kuongea maneno kama haya zaidi yakubariki matendo ya kikundi cha wasiojulikana na kumvurumusha Membe.