Polepole: Wana-CCM tusikae kimya Serikali ikikosea, tuwe wakali na jasiri kukosoa

Utawala huu watu kama hawa wanaachwa tu wajivue nguo hadharani, ni utawala ambao unaongozwa na mtu safi kabisa, hana doa hata moja, huwezi kumchafua kwa lolote, nia yake ni kuivusha TZ kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine! Mistakes za hapa na pale hazitokosekana, lakini tutafika Pahala!
Tumekusikia madilu
 
Huyu jamaa hakutakiwa kuongea kwa sasa, ila tushukuru tu utawala wao wa kidhalimu kuondolewa kwa nguvu isiyoonekana
Upo sahii Sana mkuu , Yani wanakumbuka leo jana yao hawakumbuki,

Mfano ile kesi waliofungwa ,mh Mbowe ,mch Msigwa , Mdee, Mnyika, Heche ,
Kisa tu kulikua na mausiano ya familia ya mchungaji Msigwa na Mwenda zake Basi ni huyo polepole ameenda magereza na makamera kumtoa Mchungaji Msigwa japo aliwakataa , na nikipindi mchungaji Msigwa alikua amelipiwa na watanzania , alafu leo anajifanya kemea serikali ya awam ya sita ,wakati ni walewale kisa ametengwa? Watanzania sio wajinga ,POLEPOLE hizo nguvu anatoa wapi ,? Bora akae kimya Hana lolote anaweza wambia watu labda wale wajinga ambao ata kutunza kumbukumbu kwao ni mzigo ,

Leo eti ndo anajifanya pinga wanaccm wenzake wakati ameshikili asilimia ,100% kubomoa mshikamano wa Taifa, Hana haibu na atekeleze nilicho mwambia Mungu wangu yupo up to date sana
 
Mnapigania demokrasia ambayo hamuiishi..
Kichwa panzi
 
Tulia wewe, ushawahi kuwa mwana CCM wewe? Hebu tuache kwanza maana unaongea saana wakati sisi tupo kimya tu tunakushangaa hujiulizi why?
 
Situmii nguvu yeyote Chief, I just present fact, kama unaweza kupingana nayo, you are welcome, And my fact is AWAMU YA 5 ILIKUWA NI AWAMU YA UOVU (Inaweza kuwa hypothesis pia ambayo mtu anaweza kuprove or not na akapata Masters or PhD)
Uovu upi ambao ulikuwa mgeni kwako katika awamu hiyo?
 
Mnapigania demokrasia ambayo hamuiishi..
Kichwa panzi
Wewe WENDA umetoka sayari ya jupta, wengine ni mkataba wetu na Mungu ongea fact bila upendeleo au itikadi za dini ,siasa ,ukabila, so Kama umevamia kambi bila kujua kaa pembeni vinginevyo utakipata unachota pita hapa live jf ,sinaga mchezo na watu wepesi ,jibu hoja tutaenda sawa , nakuonya sio ombi ni lazima nasema
 
Back
Top Bottom