Polepole: Wana-CCM tusikae kimya Serikali ikikosea, tuwe wakali na jasiri kukosoa

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,080
8,219
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole

FFHjG4pXMAAO1bq

My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
 
Hata Chacha wangwe, Sumaye ,Lazaro Nyalandu walitumia haki zao pia lakini wakauawa na kufukuzwa
 
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole

FFHjG4pXMAAO1bq

My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Aseee!
 
Haka kajamaa kaache unafiki.!
Mbona enzi ya Jiwe hakuwa anakosoa?
 
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole

FFHjG4pXMAAO1bq

My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Huyu ubongo umejaa fungus, serikali yao ya wauwaji ya awamu ya tano mbona walikuwa hawataki kukosolewa?

Mama amshughurikie huyu mbwa haraka maana kila kukicha yuko bize kupandikiza chuki na uhasi dhidi ya serikali ya awamu ya 6, ashughurikiwe haraka ili awe demo kwa Sukuma gang wote.
 
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole

FFHjG4pXMAAO1bq

My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Kuna kukosoa na kutukana na kutaka kupindua meza sasa huyo membe alikua kwenye lipi?
 
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole

FFHjG4pXMAAO1bq

My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Aliiona Tanzania iko mfukoni mwake.
 
Back
Top Bottom