Polepole: Wana-CCM tusikae kimya Serikali ikikosea, tuwe wakali na jasiri kukosoa

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,504
2,000
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole

FFHjG4pXMAAO1bq

My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Huyu ni chizi hana issue
 
Ole jaminati

Senior Member
Sep 23, 2021
111
225
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole

FFHjG4pXMAAO1bq

My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Aache unafiki ajue wakati wake ulishapita yy mbona hakuwai kukosoa awam ya 5 wakati watu wakipotea amuache mama aongoze nchi tunaamina mama ipo siku atatuachia katiba mpya kabla ya kumaliz mihura yake #tunataka katiba mpya
 
mpenja jr

Member
Dec 29, 2017
18
45
Huyu jamaa nimegundua ni mnafiki, anatumia nguvu kubwa ili utawala wao uonekane ulikuwa mzuri, kumbe ndo kipindi ambacho ukikosowa unapotea
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
7,244
2,000
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole

FFHjG4pXMAAO1bq

My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Huyu bado mnamsikiliza?
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
4,641
2,000
FFLLGpyXsAMn7wo

Hawa jamaa walijipa uhakimu, kuhukumu kila mtu, Nyambaf zao, Ni wakati sasa avuliwe ubunge aliohongwa na Magufuli
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,855
2,000
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole

FFHjG4pXMAAO1bq

My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Hiki kijamaa kinafiki. mbona alipokuwa ndani ya ulaji hakuyaona haya anayaona haya baada ya kutemwa? Kwani serikali aliyokuwa akiitumikia ilikuwa haikosei?
 
Galileo_Gaucho

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,858
2,000
Ametoa hoja msingi sana na amekumbusha wajibu wa msingi sana. It doesnt matter who,when,where,? I would care on why and how.
He has just reminded people sasa ukipenda sawa na usipopenda sawa.

Kwenye mambo ya kipumbavu mnasema chama kimeshika hatamu,kinyume chake kwenye hoja zenye tija mnataka chama mfu.

Vyama na siasa za kipumbavu vipo tanzania tu.

Integrity ni jela mbaya ukiwa samaki mdogo katikati ya wakubwa. Be easy with Humphrey by thinking Big. Hoja haipigwi kwa nyundo japo Comrade Sitta kwake kupigwa nyundo ilikuwa sawa.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,457
2,000
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole

FFHjG4pXMAAO1bq

My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?

Nyani hakupata kuona kund*le
 
fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
7,545
2,000
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole

FFHjG4pXMAAO1bq

My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Kuna anayeendelea kumuamini huyu jamaa? Binafsi naona amekosa mvuto na ushawishi wa kisiasa kwa ndimi zake mbili mbili.
Kipindi cha mwendazake hakuwahi kuongea maneno kama haya zaidi yakubariki matendo ya kikundi cha wasiojulikana na kumvurumusha Membe.
 
Jocasta

JF-Expert Member
Aug 28, 2014
312
250

Huyu Ni polepole,mpumbavu aliyedhani ameiondoa demo
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
4,641
2,000
Kuna anayeendelea kumuamini huyu jamaa? Binafsi naona amekosa mvuto na ushawishi wa kisiasa kwa ndimi zake mbili mbili.
Kipindi cha mwendazake hakuwahi kuongea maneno kama haya zaidi yakubariki matendo ya kikundi cha wasiojulikana na kumvurumusha Membe.
Kama kuna ishu hawa watu hawawezi kuaminika ni kupigwa risasi Lissu na yaliyoendelea baada ya tukio lile, ilibidi wakae kimya kwa sasa kama Bashiru
 
MABAKULI

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
1,422
2,000
Yaani kama Kuna watu huwa naona wanaakili sana ni wanasayansi waliotengeneza sumu ya panya kile kitendo Cha panya kula Ile sumu palepale anaanza kutafuta maji yà kunywa atapo yapata akinywa tu anafia hapo hapo nje ya chombo Cha maji .
Wanasayansi hao walijua kua akifia kwenye shimo au kwenye chakula atatutia hasara ya chakula au harufu.
Sasa hivi vimtu Bora vinajitokeza kamoja kamoja Toka mashimoni madhala waliyoyafanya na mwendakuzimu yule sidhani kama ccm itakubali yarudiwe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom