Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

Nchi nzima imeoza... sio chama.. kila mtu sio honest Tanzania.
na ukiongelea chama leo hii akina Chenge na JK na Mkapa wakihamia CHADEMA tutawaita watakatifu.
Suala ni kukuza utaifa, kuhimarisha vyama vya upinzani ili viwe changamoto kwa CCM na ikibidi yes kuitoa CCM madarakani.
Hao akina Mkapa & co wakihamia chadema watakuwa sio ccm tena na akili yao haitakuwa na upuuuuzi wa chama tawala mfu. Ni sawa na kuhama dini unakuwa na imani mpya ya zamani tupa kule. Hata Kenyatta alikulia KANU chama katili dhidi ya upinzani, kahama huko Kanu yupo poa na wala hazuii freedom of speech kama vile ilivyokuwa kwa lichama alilokulia.
 
Hii ni aibu kutoka na habari inayoonyesha Rais amefanya mazungumzo na watu waliotaka kumhonga tena ukiwa mpaka na kiwango cha hongo lakini huna majina ya watu hao.
Polepole ni muda sasa kutumia ulimi kwa hatua. Kwa wengi hii ni habari ya kipuuzi maana inamshusha rais kwenye kiwango cha chini mno.
 
Hazijui billioni 300 ni kiasi gani. Analeta siasa kwenye jambo muhimu
Polepole anaona kila mtu ana akili Za ki bashite au kiccm. Kwanini RAIS hakuwaekea mtego Ili wakamatwe tupate kuvunja mkataba kiurahisi. Nahisi taratibu polepole anaanza kurithi akili Za bashite.
 
Hao waliotaka kumpa hongo wamekamatwa?
Subiri uchunguzi ufanyike kwqnza, taarifa yenyewe umepata Leo tu, Tena aliyetoa sio vyombo vya dola vyenye mamlaka. Pole pole ni mwanasiasa tu hanamamlaka kisheria ya kukuambia ni nani na amekamatwa au la
 
This story is fishy nan huyo mwenye ujasiri WA kumhonga MAGU?

Magu ni nani asihongeke? Rais wa Marekani anahongeka, huyu wa dunia ya tatu kwanini asihongeke?

Sema hawajafika dau, wakifika dau utaona analegea kama mkate mbele ya chai..
 
Polepole kijana wangu,usilibebe hili jambo "kisiasa" zaidi.Hili jambo tuende nalo "kiuweledi" zaidi,ili huko mbele ya safari tusije tukapoteza na kumpotezea Rais wetu heshima kimataifa.Kila mtu anamuunga mkono Mh.Rais,wengi wanachotofautina naye labda ni "Approach" ya suala hili.

Ndio maana Tundu Lisu kasema tujitoe kwanza huko kwenye "MIGA" ndio tuanze "harakati" za kudai "mapanki" yetu ya dhahabu.Kama hatutakuwa tumejitoa,basi hao "mababeru" lazima watuadabishe,sbb tutakuwa tumevunja mikataba ambayo sisi wenyewe,kwa utashi na akili zetu timamu,tuliikubali na kuanguka saini.

Tukishamaliza huko,tuje tujitoe kwenye hizi "Bilateral Treaties" ambazo tuliingia kwa "mbwembwe" na USA,Canada na UK.Tukimaliza hapo,tuje kwenye bunge letu na tupeleke mswaada kwa hati ya dharura ili kufanya marekesbisho ya sheria ya Uwekezaji ya mwaka 1997 na sheria ya Misamaha ya Kodi za madini ya 1998 na ile Sheria ya Madini ya 2010 iliyoletwa Bungeni sbb ya "Buzwagi Saga-2007"

Vinginevyo,tutabaki kupiga kelele na kujazana upepo tu.

Ndio maana sishangai Lissu anavyowazidi akili wanasheria wa serikali..

Ishu kama hii ilihitaji kuweka uCCM na uCHADEMA pembeni na kushauriana wapi tunatakiwa kugusa ili tutoke salama.

Sitashangaa kuona hii ishu inapelekwa kisiasa hadi tuangukie pua na kulipa fine za watu..
 
Polepole kijana wangu,usilibebe hili jambo "kisiasa" zaidi.Hili jambo tuende nalo "kiuweledi" zaidi,ili huko mbele ya safari tusije tukapoteza na kumpotezea Rais wetu heshima kimataifa.Kila mtu anamuunga mkono Mh.Rais,wengi wanachotofautina naye labda ni "Approach" ya suala hili.

Ndio maana Tundu Lisu kasema tujitoe kwanza huko kwenye "MIGA" ndio tuanze "harakati" za kudai "mapanki" yetu ya dhahabu.Kama hatutakuwa tumejitoa,basi hao "mababeru" lazima watuadabishe,sbb tutakuwa tumevunja mikataba ambayo sisi wenyewe,kwa utashi na akili zetu timamu,tuliikubali na kuanguka saini.

Tukishamaliza huko,tuje tujitoe kwenye hizi "Bilateral Treaties" ambazo tuliingia kwa "mbwembwe" na USA,Canada na UK.Tukimaliza hapo,tuje kwenye bunge letu na tupeleke mswaada kwa hati ya dharura ili kufanya marekesbisho ya sheria ya Uwekezaji ya mwaka 1997 na sheria ya Misamaha ya Kodi za madini ya 1998 na ile Sheria ya Madini ya 2010 iliyoletwa Bungeni sbb ya "Buzwagi Saga-2007"

Vinginevyo,tutabaki kupiga kelele na kujazana upepo tu.
Mkuu yote hayo uliyoeleza wanayajua vema.tatizo ni kiki tuu zinazo tafutwa.

Hivi kwa akili ndogo tu ya chekechea polepole anawezaje kuitenga ccm na huu wizi unaofanyika?,anaongea utadhi viongozi wa leo wa ccm ni wapya katika chama.
 
Kwa hiyo hili jambo la madini ni la serikali au ni la chama? Msemaji wa serikali mbona yuko kimya?
 
Hao waliotaka kuhonga bil 300 watakuwa ni kama akina Lowasa. Ni wale ambao huwa wanapendeza kutaja tu lakini hawawezi kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Wanapendeza zaidi kutuhumiwa tu na siyo kuchukuliwa hatua za kisheria. You can choose to be a moron and believe this story.........
 
Wakuu waliopita walikuwa hawasomi ripoti za tume, huyu sijui kimemsibu nn, matokeo ndio haya watu wanatapatapa tu haijulikani nini ni nini?!
 
Whether it's grey or blue hair it does not matter. What matters ni nani anayeweza ku dare kumbribe a hos so much na akabaki salama? Unless he is one of his predisessors. Msituletee ya bash it kuhusu zile millions za shisha
 
Mbona bei ya juu ya yale makinikia ni Tshs bilioni 108. 4? Yan hapo umeweka bei ya juu mno. Sasa how comes fedha ya kuhonga iwe kubwa mara tatu zaidi ya bei ya makinikia?
 
53 Reactions
Reply
Back
Top Bottom