Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,584
- 25,668
Pole pole bwana kazi ipo pale yule ndio kiongozi wa chama hana uwezo wa kufikiri hata chembe Mungu atusaidie na ndio hao walinzi na watia saini ya mikataba yetu ya madini..
Unapotofautiana na Mimi ni kuindoa CCM na huu uozo. Lazima tukubali CCM ndio chanzo cha madudu haya. Hasa wabunge wa CCM. Lissu sina tatizo nae namuelewa sana ana hoja za msingi.Tusiwe waumini wa Lisu.. thats another wrong syndrome. Ukiondoa mkataba mbaya bado kuna makosa ma2 ya wazi.....
Mfano suala la madini mengine yasiyojulikana kusafirishwa bila kutuambia ni kosa la wazungu ambalo halina uhusiano na mkataba.
Kuna mahali wewe ni smarter than Lisu mkuu
Mkuu wazungu mmewashirikisha kwenye utafiti wa sampuli za madini hayo? Kwanini unataka tuamini ripoti ya upande mmoja. Nooo acacia wamedai tume huru ya uchunguzi tuiombe serikali ya Magufuli ikubali. Ili tuujue ukweli.Tusiwe waumini wa Lisu.. thats another wrong syndrome. Ukiondoa mkataba mbaya bado kuna makosa ma2 ya wazi.....
Mfano suala la madini mengine yasiyojulikana kusafirishwa bila kutuambia ni kosa la wazungu ambalo halina uhusiano na mkataba.
Kuna mahali wewe ni smarter than Lisu mkuu
Nchi nzima imeoza... sio chama.. kila mtu sio honest Tanzania.Unapotofautiana na Mimi ni kuindoa CCM na huu uozo. Lazima tukubali CCM ndio chanzo cha madudu haya. Hasa wabunge wa CCM. Lissu sina tatizo nae namuelewa sana ana hoja za msingi.
I stand as a supplier tafiti zetu ni za kweli na wao wazungu wasimame kama buyers wafanye tafiti zao.Mkuu wazungu mmewashirikisha kwenye utafiti wa sampuli za madini hayo? Kwanini unataka tuamini ripoti ya upande mmoja. Nooo acacia wamedai tume huru ya uchunguzi tuiombe serikali ya Magufuli ikubali. Ili tuujue ukweli.
Hapa tunawazungumzia tuliowapa dhamana ya kuongoza nchi na kusimamia rasilimali za summa. Kuwahusisha chadema ni kuwaonea hawajawahi kuamua kuhusu madini wapewe nani wala gesi achukue nani.kwanza CCM wanaowaona kama maadui.Nchi nzima imeoza... sio chama.. kila mtu sio honest Tanzania.
na ukiongelea chama leo hii akina Chenge na JK na Mkapa wakihamia CHADEMA tutawaita watakatifu.
Suala ni kukuza utaifa, kuhimarisha vyama vya upinzani ili viwe changamoto kwa CCM na ikibidi yes kuitoa CCM madarakani.
Yes tume huru ni muhimu ila kama wachokoza mada/conflict ya maslahi tunaanza na kuhamini tume yetu kuwa tunaibiwa.Mkuu wazungu mmewashirikisha kwenye utafiti wa sampuli za madini hayo? Kwanini unataka tuamini ripoti ya upande mmoja. Nooo acacia wamedai tume huru ya uchunguzi tuiombe serikali ya Magufuli ikubali. Ili tuujue ukweli.
OK then work hard kuitoa CCM...Hapa tunawazungumzia tuliowapa dhamana ya kuongoza nchi na kusimamia rasilimali za summa. Kuwahusisha chadema ni kuwaonea hawajawahi kuamua kuhusu madini wapewe nani wala gesi achukue nani.kwanza CCM wanaowaona kama maadui.
Tusubiri watakapopewa dhamana na kufanya madudu tutawawajibisha.
CCM outtttt
Nasimamia kwenye truthiness.I stand as a supplier tafiti zetu ni za kweli na wao wazungu wasimame kama buyers wafanye tafiti zao.
Jiulize wewe unasimama wapi? Upande wao na kuamini sisi WATANZANIA the suppliers tafiti zetu za uwongo.
Something is wrong somewhere.. wapi unasimama?
And you work hard to keep them eating our national cake. CaaaoOK then work hard kuitoa CCM...
Hapo ndipo panapotia shaka kubwa na kuhoji ukweli wa taarifa za wanasiasa. Kwangu haiingii akilini hata kidogo. Amethubutu kulifanya hilo hadharani, ujasiri huohuo autangazie umma waliokusudia kumhonga, vinginevyo ni hadithi kama hadithi nyingine.Yaani serikali inayojinasibu kupambana na rushwa inataka kuhongwa halafu muhongaji anaachwa?
Muulize MkapaWanani hao?? Hizo bil 300 walifunga kwenye sandarus au?? Walikutana wapi na Rais wakamwambia hayo???
Kama TAKUKURU ipo ofisi ya Rais na Watoa rushwa wanataka kutoa rushwa kwa Rais halafu hakuna taarifa juu ya kukamatwa watoa rushwa basi hii episode ni noma sana.Haha aisee wacha nicheke! Mnajua kutuletea cinema nyiye ccm hamna mfano. Sasa tutathibitishaje? Yaani ww sizonje atake kupewa rushwa ya b 300 akae kimya? Haha, he kumbe rais naye huwa anasema walileta pesa nikakataa sasa kwa nini tuna takukuru? Kazi yake nini? Pelekeni ujinga na cinema zenu huko kwa wale mlio wanyima elimu!
Kununua taarifa feki?Hizo billion 300 itakuwa note fake