Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,471
- 37,733
Na Ndugai ni raia wa India? Maana na yeye alikaa Apollo Zaidi ya miezi 3 kwa gharama ya ujenzi wa hospitali ya Wilaya.!Isijekuwa tu Lisu alichukua Uraia wa Ubelgiji,
Kama kadanganya tume !!!
Lissu risasi mmempiga nyie, kaenda nje ya nchi kwa matibabu tena kwa hela za wenye HERI, wala hakuwa na mpango hata wa kwenda Zambia kabla hajapigwa risasi, mtu kaenda kutibiwa mmemgeuza uràia.
Mwamzoni nilikuwa namsema vibaya Polepole kwa maneno yake mabovu yasiyo na mantiki, lakini kwa jinsi anavyoungwa mkono na CCM wenzake anapoongea utumbo kama huu, naanza kuamini Polepole anawakilisha akili za wanaCCM wote ndivyo zilivyo.