Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

Polepole ni zaidi ya Nape bwashee!
Polepole anachezea pesa za chama kulipa watu wenye hoja hafifu sana, Nape asingewapa hela za bure bure! Hizo pesa tunazotafuta kwa shida, afu watu hata hamfanyi kazi, unaandika tu, “Tundu Lisu hana akili”, ndo ulipwe elfu 7?
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!

Hiv siku hizi polepolendiye anayeipa amri na maelekezo Tume ya uchaguzi?

Vipi ataiambiaje tume kuhusu Majaliwa kufanya kampeni nchi nzima wakati yeye ni mgombea wa ubunge kule ruangwa?
 
Hivi Polepole ni mzima kweli? kamanda Bashiru hivi huyu mtu mlimchukulia hatua gani kwa zile fedha alizowapiga wakati akijidai 'kuwashawishi' wabunge na madiwani 'kuunga juhudi'
Kaiba sana cha juu hata sasa polepole ni mwizi bado anapiga pesa kwa kisingizio cha kuiangamiza chadema
 
Mnataka kufanya kama kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa, ushindi asilimia 98.....basi sawa sisi yetu macho.
 
CCM ni sawa kabisa na "gangsters' paradise" ambapo roho zote chafu zenye kuhamasisha wizi, ufisadi, ushirikina, ufedhuli, udhalimu, ichu wa damu za watu, uonevu, dhuluma, uzinzi & uasherati, matendo ya kishoga, uongo, tamaa mbaya, ulevi wa madaraka na mambo mengine yenye kufanana na hayo.
CCM ya sasa imejaa mambo haramu ya kishetani
 
Tume ya taifa ya uchaguz, ccm, na serikali tofauti yao ni majina ila watu ni walewale. So polepole aache unafiki. Anaongea kana kabwa ni tume huru kumbe imejaa makada wa chama
 
This guy has some kind of syndrome !!!!!! Polepole hayuko sawa. Hawa ni wa kunyonga kutumia sheria zao walizotunga na jela walizoboresha. Kuwapeleka The HAGUE ni kuwapa gandhi wasiyokuwa nayo

When their time comes, they should all be arrested, and tried here. Majangili yote wakina slow slow, Judge mstaafu na wahuni wa Time ya uchaguzi
Kabisa mkuu. Hawa ni wa kunyongwa hapahapa nchini.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Kumbe ni nyie mlimtuma hiyo kazi ya kumwita Lissu?
Yaaani umemharibia kabisa huyo mkurugenzi mbele ya watanzania.
Kilichopaswa kusisitizwa kwa huyu mkurugezi ni kutenda haki ya wale waliokatwa ili kufanya baadhi ya wagombea kupita bila kupingwa warudishwe.
Hili la kupitisha watu bila kupingwa linaigharimu tume sii tu kwa sasa bali hata baada ya uchaguzi huu watawajibika.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Hapa Polepole anatuthibitishia kuwa NEC imepewa maagizo na CCM, sasa endapo NEC hawatatekeleza maagizo watafikuzwa kazi, Polepole hajui kuficha siri.
 
Polepole anza kujielewa umeiweka tume uchi, press yako ya kwanza ulitaja mpaka idadi ya wapinzani waliokatwa na press ya pili ukasema Lissu ataitwa na tume na tume ikafanya Kama ulivyosema Sasa huoni unajichafua wewe na tume ndo maana ulimuita Lissu msukule maana unayoyapanga sirini yanakuabisha Sasa umeiharibia na tume.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Endelezeni uchochezi tu,kwani tunawajua ni wazalendo maslahi.Matokeo yake tutayavuna siku sii nyingi Kama mnavyo vuna matunda ya kukosa kuhakikisha,Uhuru,haki na maendeleo kwa wapiga kura hats wanewakataa ,Sasa mnaanza kuhubiri siasa chafu
 
Huyu kilaza ndiye atende haki!? You must be out of your mind.

Back
Top Bottom