Polepole sijaamini kalisti kurudi CCM

Waziri2025

Senior Member
Sep 2, 2019
148
379
Ni mchapa kazi CCM imepata jembe la kazi Kalisti Lazaro Ni habari nyingine nashukuru kumuona akiwa mwanachama mpya Wa CCM na pia amerudi na Mwenyekiti wa halmashauri ya Arusha Lembris Noah pamoja na Diwani wa kata ya Olmoti Robart Konina.

Polepole Katibu Mwenezi CCM akifunga kampeni za Serikali za mitaa Arusha.

IMG_20191123_163925_6.jpeg
IMG_20191123_162809_4.jpeg
IMG_20191123_163549_1.jpeg
IMG_20191123_162754_4.jpeg
IMG_20191123_165949_5.jpeg
IMG_20191123_165609_6.jpeg
 
Duniani kuna mengi! Kiongozi anahama katika mazingira tata,anapoteza imani ya wananchi wengi wajinga na wapumbafu wanashangilia!?
 
Wakiwa Upinzani wanakua hawana Maana, hawana akili ila ghafla wakihamia CCM wanaitwa Majembe...hizi nyege mshindo ambazo zinapatikana CCM. Ashki majinuni
 
Ni mchapa kazi Ccm imepata jembe la kazi kalisti Lazaro Ni habari nyingine nashukuru kumuona akiwa mwanachama mpya Wa Ccm na pia amerudi na Mwenyekiti wa halmashauri ya Arusha Lembris Noah pamoja na Diwani wa kata ya Olmoti Robart Konina ,, polepole Katibu Mwenezi Ccm Akifunga kampeni za Serikali za mitaa Arusha.

View attachment 1270346View attachment 1270347View attachment 1270348View attachment 1270350View attachment 1270367View attachment 1270368
Kwani hapo ulipo panga utaratibu wa kumnunua hujajua tu kama utammiliki na atakuja kwako
 
Ni mchapa kazi CCM imepata jembe la kazi Kalisti Lazaro Ni habari nyingine nashukuru kumuona akiwa mwanachama mpya Wa CCM na pia amerudi na Mwenyekiti wa halmashauri ya Arusha Lembris Noah pamoja na Diwani wa kata ya Olmoti Robart Konina.

Polepole Katibu Mwenezi CCM akifunga kampeni za Serikali za mitaa Arusha.

View attachment 1270346View attachment 1270347View attachment 1270348View attachment 1270350View attachment 1270367View attachment 1270368
Kama vipi akuoe kabisa
 
Bw.Polepole vipi Mzee Lowassa nae hukuamini?Mbona ulikaa kimya mpaka leo hujawahi kumpongeza?
 
Back
Top Bottom