Polepole: Nimeshahojiwa na Kamati ya Maadili ya Chama, hiki ni kikao cha ndani hivyo taarifa rasmi zitatolewa na chama

Mbunge anayewakilisha Jimbo la Ikulu,anayepingana na kiti,ni Uhuru wa kusema au hajui yuko pale bungeni kutetea masilahi /kumwakilisha nani.Hataki kuwa Chawa wa Mamlaka ya uteuzi. Hapa kazi-Kazi iendelee.
 
Watu wenye mrengo wa kimagu......naona wanashughulikiwa Pole pole Gwajima!!!
kweli mzungu aneshatia doa
 
Mnakumbuja Siku Polepole na Bashiru wamewaita Kinana,Membe na Makamba?

Dunia inaenda kasi sana,miezi minne nyuma polepole alikuwa anahoji wenzake na kuwaonya kwa kejeli leo ni zamu yake kulipa hapahapa Duniani.
KARMA - you get what you deserve,
 
Ulidhani Madaraka Hayana Mwisho, Basi Kinywee Kilekile ulichokuwa unawanyweshea Wenzako. Cheo ni Dhamana..
Noma Sanaa aisee, mi nakuhakikishia Polepole na Bashiru alipokufa JPM walilia Sanaa sema TU ndio hivo muchozi ya smaki.Yaani mwanza itakua now huwa wanamuota usiku na hawaamini kama hawana madaraka tena

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom