Polepole ni kama alisahau kitu kule Sekretarieti ya CCM

Dr Bashiru Ally yuko kimya

Taslima yuko kimya

Mpogolo yuko kimya

Ni Polepole peke yake anayezunguka kwenye media ilhali alishastaafu na kuzawadiwa ubunge

Polepole umesahau nini kule ofisini kwa Shaka?

Maendeleo hayana vyama!

Ni ule utoto na hasira ya kupoteza cheo kilichomfanya ajihisi yupo juu ya sheria.

Madaraka matamu aisee, alalfu kibaya zaidi wengi hawakutarajia Mwendakuzimu angekufa. Sasa hivi watu ambao waliwadharau ndo wameshika usikani jambo ambalo hakutarajia.

Kina Bashiru ni wabobezi, anaelewa zama zimebadilika ameamua kula alichopewa huku amefunga mdomo. Sasa huyu ngedere unayemzungumzia anahisi atapambana na serikali. Hawezi na hatofika mbali ya 2025. Bungeni harudi.
 
Dr Bashiru Ally yuko kimya

Taslima yuko kimya

Mpogolo yuko kimya

Ni Polepole peke yake anayezunguka kwenye media ilhali alishastaafu na kuzawadiwa ubunge

Polepole umesahau nini kule ofisini kwa Shaka?

Maendeleo hayana vyama!
Mpeni V Eiteee yake anyamaze.
 
Back
Top Bottom