Polepole Nakupa Onyo

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,863
3,190
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unadharau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache.

Unataka kumpangia Rais afanye nini na nini asifanye. Tatizi unaona kwa vile ulikua mwenezi basi Samia hawezi kukufanya kitu.

Uhuni wenu wa kuua na kuteka mnataka na sisi tuufanye au sio.

Hivi unaona unayohaki ya kuongea lolote kutoka kichwani kwako. Sasa nakukumbusha CCM na serikali haijashindwa kukunyoosha ukanyooka.

Endelea kufanya ziara za media kuponda kazi zinazifanywa na Rais Samia hakika utapata unacho kitaka.

Endelea kudhani kuwa unao ukubwa ulionao. Nakupa Onyo wewe na wanao kutuma.

#KAZI IENDELEE
 
Onyo ni nini tuanze na definition
IMG_20211205_213523.jpg
 
Hajampangia isipokuwa hao wasaidizi wa rais baadhi ni wahuni kwa hiyo rais anaweza ishi nao, lkn ni wahuni suala la stiglers linadhihirisha haya.
 
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache...
who is you? Unataka kiki.
 
Hajampangia isipokuwa hao wasaidizi wa rais baadhi ni wahuni kwa hiyo rais anaweza ishi nao, lkn ni wahuni suala la stiglers linadhihirisha haya.
Kuna wqhuni waliozidizi wa Mqgufuli? Sabaya, Makonda, Happy, Gambo, Chalamila, wakuu wengi wa wilaya, Mwigulu, and the like.

Hakuna Serikali ambayo iliwahi kuzungukwa na wahuni wengi kama awamu ya 5. Tena wale hawakuwa wahuni bali majambazi, kuanzia mkuu wao aliyekuwa akipora pesa watu kwa kisingizio cha uhujumu uchumi.
 
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache.
Unataka kumpangia Rais afanye nini na nini asifanye Tatizi unaona kwa vile ulikua mwenezi basi Samia hawezi kukufanya kitu.

Uhuni wenu wa kuua na kuteka mnataja na sisi tuufanye au sio.

Hivi unaona unayohaki ya kuongea lolote kutoka kichwani kwako. Sasa nakukumbusha CCM na serikali haijashindwa kukunyoosha ukanyooka. Endelea kufanya ziara za media kuponda kazi zinazifanywa na Rais Samia hakika utapata unacho kitaka.

Endelea kuzani kuwa unao ukubwa ulionao. Nakupa Onyo wewe na wanao kutuma.

#KAZI IENDELEE

Bado unahangaika na marehemu. Unatia Aibu. Embu look forward. Makonda kaanza na Kikwete. Siasa Ni michezo tu. Wanaoumia wadogo. Si kila jambo wanalijua wakubwa. Ndo mana hata wewe kwenu hawajui kama unapigana na marehemu.
 
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache.
Unataka kumpangia Rais afanye nini na nini asifanye Tatizi unaona kwa vile ulikua mwenezi basi Samia hawezi kukufanya kitu.

Uhuni wenu wa kuua na kuteka mnataja na sisi tuufanye au sio.

Hivi unaona unayohaki ya kuongea lolote kutoka kichwani kwako. Sasa nakukumbusha CCM na serikali haijashindwa kukunyoosha ukanyooka. Endelea kufanya ziara za media kuponda kazi zinazifanywa na Rais Samia hakika utapata unacho kitaka.

Endelea kuzani kuwa unao ukubwa ulionao. Nakupa Onyo wewe na wanao kutuma.

#KAZI IENDELEE
Ungekua mwanaume kama Slowslow ungekuja kutoa onyo hapa na verified account. Acha ukengeuku
 
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache.
Unataka kumpangia Rais afanye nini na nini asifanye Tatizi unaona kwa vile ulikua mwenezi basi Samia hawezi kukufanya kitu.

Uhuni wenu wa kuua na kuteka mnataja na sisi tuufanye au sio.

Hivi unaona unayohaki ya kuongea lolote kutoka kichwani kwako. Sasa nakukumbusha CCM na serikali haijashindwa kukunyoosha ukanyooka. Endelea kufanya ziara za media kuponda kazi zinazifanywa na Rais Samia hakika utapata unacho kitaka.

Endelea kuzani kuwa unao ukubwa ulionao. Nakupa Onyo wewe na wanao kutuma.

#KAZI IENDELEE
Wewe usitishe watu
 
Jipe onyo mwenyewe kwanza wewe muhuni
Nyie ndo mna mhalibia raisi na sifa zenu za kijinga.
 
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache.
Unataka kumpangia Rais afanye nini na nini asifanye Tatizi unaona kwa vile ulikua mwenezi basi Samia hawezi kukufanya kitu.

Uhuni wenu kuua na kuteka mnataja na sisi tuufanye au sio.

Hivi unaona unayohaki ya kuongea lolote kutoka kichwani kwako. Sasa nakukumbusha CCM na serikali, haijashindwa kukunyoosha ukanyooka. Endelea kufanya ziara za media kuponda kazi zinazifanywa na Rais Samia hakika utapata unacho kitaka.

Endelea, kuzani kuwa unao ukubwa ulionao. Nakupa Onyo, wewe na wanao kutuma.

# Kazi Iendelee
Polepole, anaongea wazi wazi sio wewe umejificha nyuma ya keyboard.
Na kama kufa kila mtu atakufa, kama wewe ndio sababu ya kifo chake utafanikiwa ila usitishe watu.
 
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache.
Unataka kumpangia Rais afanye nini na nini asifanye Tatizi unaona kwa vile ulikua mwenezi basi Samia hawezi kukufanya kitu.

Uhuni wenu wa kuua na kuteka mnataja na sisi tuufanye au sio.

Hivi unaona unayohaki ya kuongea lolote kutoka kichwani kwako. Sasa nakukumbusha CCM na serikali haijashindwa kukunyoosha ukanyooka. Endelea kufanya ziara za media kuponda kazi zinazifanywa na Rais Samia hakika utapata unacho kitaka.

Endelea kuzani kuwa unao ukubwa ulionao. Nakupa Onyo wewe na wanao kutuma.

#KAZI IENDELEE
Acha upuuzi unamtisha Nani ikulu imekuwa ya Walanguzi
 
Back
Top Bottom