Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,193
- 25,500
Akizungumzia kuhama kwa Ndugu Lazaro Nyalandu toka CCM,Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa wa CCM,Humphrey Polepole amesema kuwa kuhama kwake ni habari na jambo la kawaida.
Polepole amesema kuwa kuhama kwa Nyalandu si jambo jipya kwakuwa wamewahi kuhama vigogo katika siku za nyuma. Polepole amesema kujiunga na kuhama chama ni haki ya kikatiba.
Polepole amehitimisha kuwa kuhama kwa Nyalandu toka CCM ni afya ya demokrasia.
Chanzo: ITV Habari