Polepole: Kuhama kwa Nyalandu ni jambo la kawaida na afya kwa demokrasia

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,176
25,446
Akizungumzia kuhama kwa Ndugu Lazaro Nyalandu toka CCM,Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa wa CCM,Humphrey Polepole amesema kuwa kuhama kwake ni habari na jambo la kawaida.

Polepole amesema kuwa kuhama kwa Nyalandu si jambo jipya kwakuwa wamewahi kuhama vigogo katika siku za nyuma. Polepole amesema kujiunga na kuhama chama ni haki ya kikatiba.

Polepole amehitimisha kuwa kuhama kwa Nyalandu toka CCM ni afya ya demokrasia.

Chanzo: ITV Habari
 
Sababu zilizomfanya ahame kaziminya. Kwi kwi kwi kwi njaa mbaya sana.

Akizungumzia kuhama kwa Ndugu Lazaro Nyalandu toka CCM,Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa wa CCM,Humphrey Polepole amesema kuwa kuhama kwake ni habari na jambo la kawaida.

Polepole amesema kuwa kuhama kwa Nyalandu si jambo jipya kwakuwa wamewahi kuhama vigogo katika siku za nyuma. Polepole amesema kujiunga na kuhama chama ni haki ya kikatiba.

Polepole amehitimisha kuwa kuhama kwa Nyalandu toka CCM ni afya ya demokrasia.

Chanzo: ITV Habari
 
Eti Polepole anapozungumzia demokrasia anazungumzia demokrasia ipi hasa? Maana kuna hii ya Magufuli au ile ya Wayunani - inayotambulika ulimwenguni.

CCM wanaharibu nchi kwa kuendekeza ubinafsi, chuki na unafiki.
 
Angetaja na sababu za kuhama nyalandu?
Mbona nyalandu kazitaja

Ova
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom