Polepole: Hata Mungu hakutaka upinzani ndiyo maana alimfukuza shetani mbinguni

Kuna tofauti kubwa kati Mungu na mungu.Wale wote wanaoropoka badala ya kufikiri huwa wanaabudu kwa mungu na si kwa Mungu.
 
Mgonjwa wa sickle cell huyo ,muhurumieni ugonjwa lazima utakuwa umeathiri ubongo ,kama tu ugonjwa umeweza kuuzeesha mwili wake akiwa kijana wewe unafikiri ubongo ndio itakuwa usalama .
 
Polepole amewataka wapinzani waache kupiga kelele kuhusu kubanwa kwa vyama vya siasa.

Amewaambia kwani hata mungu alimfukuza shetani mbinguni kwani alikuwa hataki upinzani.

Kazi kwenu
Mungu alifanya makosa mawili makubwa,kwanza anakiri alikosea kumwuumba binadamu ( Mwanzo 6:6) na pili kumfukuza shetani (alikuwa mkuu wa Malaika) toka mbinguni matokeo yake ana wafuasi wengi, pamoja na Polepole, kuliko Mungu Mwenyezi. Shetani tunakutana nae kila siku lakini kwa huzuni Mungu amekata kabisa mahusiano na Binadamu.
 
Ukiingia siasa unaachana na imani ya dini kabisa
Tumeona wengi sana
Huwezi kuwa na dini ukawa mwanasiasa never

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kwani hapa duniani ambako CCM inatawala ni makao ya nani?
Jibu unalo ni makazi ya baba yenu Ibilisi shetani .ndiyo maana mnapiga risasi kina Lisu na mnauwa watu amfanywi chochote.Unafikiri Mbinguni kuna wauwaji kama nyinyi? MBINGU ni ya watakatifu kwa kuwa MUNGU ni mtakatifu. Hakuna huu upumbavu wenu wa kuuwa watu.
 
Mpumbavu kweli huyu! Aache kumfananisha Mwenyezi Mungu na vitu vya ajabu ajabu (wahuni, majibu, mafisadi na wauaji)

Polepole amewataka wapinzani waache kupiga kelele kuhusu kubanwa kwa vyama vya siasa.

Amewaambia kwani hata mungu alimfukuza shetani mbinguni kwani alikuwa hataki upinzani.

Kazi kwenu
 
Nilijua tu ipo siku rangi halisi ya huyu ZUZU itajulikana. Wao ni Mungu na Wapinzani ni Shetani? Kufuru gani hii?? Kujilinganisha na Mungu inaruhusiwa dini gani? Hivi Mchungaji wake amemsikia na bado akienda Kanisani hataambiwa kufuru hii? Viongozi wa dini ifike mahali msimamie viapo vyenu katika kulinda neno la Mungu. Haiwezekani MPUMBAVU mmoja kwa sababu ya madaraka aanze kulinganisha utukufu wa mbinguni na chama chenye wanachama binadamu wadhambi na wadhulumaji kama CCM. Ifike mahali msimame kama watetezi halisi wa Mungu na neno lake bila kuhofia limetolewa na Nani! Hawa ni Walevi tu, tena walevi wa muda mfupi, pombe ya madaraka ikiwaisha wanarejea kwenye akili zao, hivyo ni wajibu wenu kukemea pale mambo matakatifu yanapofananishwa na Upumbavu wa wapumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo anaitwa polepole angeitwa HARAKAHARAKA sijui ingekuaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama Mungu alimuumba shetani, alafu akamfukuza, bado tu huoni Mungu alikosea kumuumba. Alafu unasema Mungu hakosei

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu alimuumba shetani - Ndio.

Shetani ana utashi wake, na utashi wake ukamfanya aamue kufanya mile alichofanya, na adhabu yake ikawa ndio kufukuzwa.

Kukosea kwa Mungu kuko wapi hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom