Polepole: Hata Mungu hakutaka upinzani ndiyo maana alimfukuza shetani mbinguni

Polepole amewataka wapinzani waache kupiga kelele kuhusu kubanwa kwa vyama vya siasa.

Amewaambia kwani hata mungu alimfukuza shetani mbinguni kwani alikuwa hataki upinzani.

Kazi kwenu
Hii ni mojawapo ya hofu waliyonayo juu ya kukua kwa upinzani na kufikia hatua ya kutaka kuwatoa madarakani.

Hata wazungu wale waliwafanya wa Afrika ng'ombe wasiojielewa na kuwalimisha lakini walikuwa na mwisho wao.

Heko Hekima!
Hekima itawale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani Polepole amekua msemaji wa Mungu!!!
CCM mnakufuru ya kumzidi Shetani.

Aseee!!!
 
Hivi ndo huyu huyu WA RASIMU YA KATIBA

Njaa mbaya. Uwezi kumtambua mtu wakati akiwa na njaa maana anakuwa mnyenyekevu na kufuata haki. Akipata na kushiba anaonyesha sura yake halisi. Kwa sasa hiyo ndiyo sura yake halisi
 
Polepole amewataka wapinzani waache kupiga kelele kuhusu kubanwa kwa vyama vya siasa.

Amewaambia kwani hata mungu alimfukuza shetani mbinguni kwani alikuwa hataki upinzani.

Kazi kwenu
lakini pia Mungu huyohuyo aliweka tunda lente kuwashawishi Adam na Hawa bustanini..Kwanini aliweka machaguo hayo kwamba wakila watamuudhi na wasipokula eatamfurahisha.
Hyo pekee inaonesha alitaka kuwe na chaguo(demokrasia)
 
Polepole amewataka wapinzani waache kupiga kelele kuhusu kubanwa kwa vyama vya siasa.

Amewaambia kwani hata mungu alimfukuza shetani mbinguni kwani alikuwa hataki upinzani.

Kazi kwenu
Wacha demokrasia ife izikwe wacha ccm washangilie vilio vya wanademokrasia nasema wacha kabisa inchi ibaki na chama kimoja tuone nani muhanga ni LISSU au Mbowe ni Maalim au Zitto ngoja twende maana kipenga kisha pigwa Watanzania wanashangilia kufungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polepole amewataka wapinzani waache kupiga kelele kuhusu kubanwa kwa vyama vya siasa.

Amewaambia kwani hata mungu alimfukuza shetani mbinguni kwani alikuwa hataki upinzani.

Kazi kwenu
Matusi mapya haya au ulimi kuwa na speed zaidi ya ubongo.
 
Akasome biblia vizuri,shetani alikuwa muasi sio mpinzani. Mbona yeye alipingana na wanaccm wengi kuhusu katiba na ndipo akapata umaarufu uliompa cheo!! Je,umaarufu wake ulitokana na ushetani wake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom