Polepole: CCM kuna majizi makubwa, kila nikitaka kuwataja wakubwa wananizuia! | Hao wakubwa ni nani zaidi ya M/kiti? Ukiwa CCM hukamatiki?

Anawafumba vinywa wapinzani kwamba hao mnaotaka kuwataja kama pale mwembeyanga sisi tunawajua hivyo hakutakuwa tena na List of shame kuelekea uchaguzi October.
Huoni tulivyowaharibia agenda ya Kangi na genge lake?? Upinzani hamtapata tena hoja kwani mafisadi tunawashughulikia kweli kweli kimatendo. Hao mtakao waibua tutasema; Tulikuwa tunawashughulikia
 
hahahah yani CCM kusema inaogopa kuwataja majizi na mafisadi yaliyojaa CCM ndiyo kumnyima Mpinzani agenda???

Hii reasoning yako hata mtoto wa darasa la 3 ataitilia mashaka.

Polepole anadhihirisha CCM imeshikwa na majizi na mafisadi,
CCM bila mafisadi na majizi haiwezi kujiendesha full stop.
 
Ngoja tukusaidie kuyataja baadhi kwa wasifu wao na maeneo walipo. Kuna mjumbe mmoja wa kamati ya siasa wilaya mmoja ya mkoa wa nyanda za juu kusini ni mstaafu wa jkt na alikuwa na taaluma ya uhasibu na ana makazi yake mafinga na dar ni fisadi aliyetorosha mabilioni ya shilingi na kuzificha urusi. tetesi zilizopo anataka kugombea ubunge katika wilaya hiyo. Jpm mulika jizi hili ndani ya chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu wa Itikadi Na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole anasema mbele ya Kamera na vinasa sauti, Kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi kuna majizi Na anawajua ila Kila akiomba ruhusa awataje wakubwa ndani ya Chama wanamzuia.

Najiuliza maswali
1.Hao wakubwa wanaomzuia Polepole asiwataje ni akina Nani?wakubwa kiitifaki Kwa Polepole ni akina Nani?

2.Majizi ndani ya Chama wao hawakamatwi?Kwa hiyo Takukuru wanamipaka ya nani akamatwe na Nani asikamatwe?

Kama ndiyo tunavyoendesha nchi hivi,basi Safari yetu ni ndefu sana.

Haiwezekani CCM wakawepo majizi. Majizi wako upinzani.
 
Haiwezekani CCM wakawepo majizi. Majizi wako upinzani.
unabishana na katibu muenezi wa CCM ???

Hii kauli ya Polepole ni kauli ya CCM ambayo inadhihirisha kuwa CCM inaendeshwa na majizi na Mafisadi ndiyo maana ni mwiko kuwataja, na endapo CCM itawataja chama kitapasuka vipande-vipande.
 
Kwahiyo pole pole anaongoza chama kinachofichq wezi , basi na yeye Ni mwizi
 
Katibu wa Itikadi Na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole anasema mbele ya Kamera na vinasa sauti, Kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi kuna majizi Na anawajua ila Kila akiomba ruhusa awataje wakubwa ndani ya Chama wanamzuia.

Najiuliza maswali
1.Hao wakubwa wanaomzuia Polepole asiwataje ni akina Nani?wakubwa kiitifaki Kwa Polepole ni akina Nani?

2.Majizi ndani ya Chama wao hawakamatwi?Kwa hiyo Takukuru wanamipaka ya nani akamatwe na Nani asikamatwe?

Kama ndiyo tunavyoendesha nchi hivi,basi Safari yetu ni ndefu sana.

Ashukuru MUNGU yupo CCM
Yaani unasema kwenye chama kuna WEZI?
Wakati sie ukisema tu Joyce hawajibiki ubunge wake siku hiyohiyo unakabidhiwa barua ya kutimuiwa.
 
Back
Top Bottom