Polepole: CCM kuna majizi makubwa, kila nikitaka kuwataja wakubwa wananizuia! | Hao wakubwa ni nani zaidi ya M/kiti? Ukiwa CCM hukamatiki?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 angeishia kupewa sumu saa hizi angekuwa chaliiiii kama dhalimu mwendazake.
hatari Sana unajua mkuu BAK ukitaka kuishi vizuri kwenye uringo wa siasa usiwe na alience yoyote yaani uwe unacheza katikati Katika zile team hasimu Ili bila kua na madhara Kwa upande wowote hiyo itakuja kukusaidia pale kundi Fulani likipata power wataweza wakuingize kwenye mfumo wao na hapo ukiwa ndani ya mfumo kua normal na una play na Kule kiuvugu vugu Sasa ndugu yetu Slow slow alibezi kwenye alience ya Jiwe na akawa anawakamia wale wengine ndio maana now katupwa nje ya mfumo anasugua benchi na kapoa kweli Hana ujanja
Kutesa Kwa zamu!
 
Back
Top Bottom