johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,615
- 141,439
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa...... Inawezekana Sugu anadanganya wenzake pale Ufipa!Mambo aliyofanya huyo mzee kizonge wa vie8 Ni ya Kijinga sana
Hahahaaaa...... Inawezekana Sugu anadanganya wenzake pale Ufipa!Mambo aliyofanya huyo mzee kizonge wa vie8 Ni ya Kijinga sana
Wa Tanzania ni mazombi Kama kiongozi wa upinzani anasota ramande kwa kosa la ugaidi wenye thamani ya laki sita na watu wamelala tu hawakemei huu uhuni Sasa si mazombiWatanzania tungekuwa na umoja hawa viongozi wangetuheshimu sana maana washatuona Mazombie
Majina yalipelekwa NEC na Mnyika!Kwa hiyo hata viti maalumu walijipeleka bungeni bila kupelekwa.
Bro JPM yupo ndani ya dam zetu, usiongee tutakumalizaHuyu mjinga Polepole amekuwa msemaji wa matukio ya JPM?
Yajayo yanafurahisha,Majina yalipelekwa NEC na Mnyika!