Polepole: Awamu ya 5 hatukuwahi kumnunua mpinzani yeyote walijileta wenyewe, hata Sugu hatukumuahidi Uwaziri asiwadanganye!

Watanzania tungekuwa na umoja hawa viongozi wangetuheshimu sana maana washatuona Mazombie
Wa Tanzania ni mazombi Kama kiongozi wa upinzani anasota ramande kwa kosa la ugaidi wenye thamani ya laki sita na watu wamelala tu hawakemei huu uhuni Sasa si mazombi
 
Kwa utendaji na uzalendo uliotukuka Alietuonyesha Ndugu Magufuli. Hakika Hata Mimi nilirudi CCM lakini kwa sasa nikama tumerudi kule kule alipotuoa Ndugu Magufuli.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom