Polepole: Awamu ya 5 hatukuwahi kumnunua mpinzani yeyote walijileta wenyewe, hata Sugu hatukumuahidi Uwaziri asiwadanganye!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Mbunge wa viti maalumu komredi Polepole amesema enzi za awamu ya 5 hakuna mpinzani yoyote aliyenunuliwa na CCM ila walijileta wenyewe.

Hata Joseph Mbilinyi aka Sugu hatujawahi kumuahidi uwaziri aache kudanganya watu, amesema komredi Polepole.

Maendeleo hayana vyama!
 
Huyu mjinga Polepole amekuwa msemaji wa matukio ya JPM?
 
Aisee kama Ni Mfuasi halisi, basi Polepole ndiye, Boss alishaenda zake lakini bado umeshikilia Imani, wapinzani wangekuwa na roho za namna hiyo nafkiri CCM ingekuwa historia nzuri sana...
 
Mbunge wa viti maalumu komredi Polepole amesema enzi za awamu ya 5 hakuna mpinzani yoyote aliyenunuliwa na CCM ila walijileta wenyewe.

Hata Joseph Mbilinyi aka Sugu hatujawahi kumuahidi uwaziri aache kudanganya watu, amesema komredi Polepole.

Maendeleo hayana vyama!
Tigo inafumuliwa sana marina. Form six failure
 
Bado ana kiwewe cha kuondokewe na sterling wakati piçha bado mbichi.
 
Kwa bahati mbaya wengi walioingizwa ccm walikuwa mapandikizi ila kila mtu hata January anamkandia JPM! Hii si sawa kabisa. Inatakiwa kuwepo na watu waeleze ukweli tupu.
JOM kwani nani asikandiwe?
Katukana watu sana hadi kuwaambia watu waache mavi yao nyumbani.
Ukipanda michingima uditegemee waridi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom