Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 636
- 1,115
Hivi uzalendo mnauchukuliaje siku hizi?
Kwani wewe unauelewaje kiongozi?Hivi uzalendo mnauchukuliaje siku hizi?
Kwenye hili Baraza Kuna Dada Doro, Dada Joy na naibu wa Dada Doro, wote Hawa hawatoshi kwa komedi unataka tuongezewe Komredi chakubanga.
Unataka Siri za Baraza zivuje.?
Mwisho utasema na Bashir awe kwenye Baraza.
Hahahaha! Hayo madawa unayosifia yote yametokana na mimea. Huwezi kuwa mbunifu kwa kukopi kopi.Huwezi kujitengenezea dawa kwa kujitenga na dunia ama kwa nia ya ku-show off kwamba na Sisi tunaweza! India ni waasisi wa tiba za madawa, hata Magharibi walikopi kwao, lakini msingi wa sayansi yao ya madawa si kutaka kujiondoa ‘ulimwenguni!’
Na hiyo kujitegemea yenu ni nini? Nyungu, pili pili na majani ya mapera?
Uzalendo ni kujiajiri na kulipa kodi. Hebu mshauri ajiajiri kuonyesha uzalendo wake.Kwani wewe unauelewaje kiongozi?
Mheshimiwa pole pole amenena yaliyokuwa moyoni mwangu. Watanzania tumfuate huyu ndugu. Anatuelekeza mahala sahihi. Natamani aingie kwenye baraza la mawaziri. Huyu ni mzalendo.
Mheshimiwa pole pole amenena yaliyokuwa moyoni mwangu. Watanzania tumfuate huyu ndugu. Anatuelekeza mahala sahihi. Natamani aingie kwenye baraza la mawaziri. Huyu ni mzalendo.
Bila shaka huu mwandiko ni waprofesa Kibudu macho kodooMheshimiwa pole pole amenena yaliyokuwa moyoni mwangu. Watanzania tumfuate huyu ndugu. Anatuelekeza mahala sahihi. Natamani aingie kwenye baraza la mawaziri. Huyu ni mzalendo.
Mkuu hawa niwanufaika kwa njia moja ama nyingine... Yaan wao ujanja ni kuvaa barakoa kwa ajr ya matangazo... Kudungwa sindano et Kinga.. jaman.. yaan hawasikii Wala hawaon. Wanamacho ila hawaoni wanamasikio ila hawasikii.. wanavichwa ila utafikir wanamaboga tu kichwan.. niwakuhurumiwa hai.."Usomi" kwa mujibu wa hawa nyumbu wa mtandaoni, ni kumeza machanjo bila kuuliza.
Ukiuliza mbona hizi chanjo hazina ithibati ya usalama, wanabwata... ooohhhh tunafungulia nchi!
Ati ndio usomi.... usomi gani wa kudungwa masumu ya ajabu ajabu!
Wengine humu ni madalali wa chanjo ambao kazi yao kubwa mitandaoni ni ku-influence public opinion.
Ni matapeli tu kama matapeli wengine.
Mheshimiwa pole pole amenena yaliyokuwa moyoni mwangu. Watanzania tumfuate huyu ndugu. Anatuelekeza mahala sahihi. Natamani aingie kwenye baraza la mawaziri. Huyu ni mzalendo.
Yaliyopita yamepita, kama alikosea awali kimya kimya, tukaona matokeo ya makosa yake, na sasa kimya kimya amerejea kwenye mstari wake wa awali na kwa macho tunaona, kwa nini tumhukumu mtu aliyeamua kuwa upande wa binadamu? Tuangalieni namna anavyotufaa sasa na baadaye. Ni mmoja kati ya watu wachache wanaoweza kumsaidia H.E, kutetea maslahi ya nchi. Tuache mizaha ama visasi vya kutuumiza. Kumbuka uharibifu hauna mizaha, na anaji penyeza kwa kasi, ili kuhakikisha uhuru wetu hata kwa masuala tunayoyaweza unapotea completely. Hii ni vita, vita ni mikakati kwa majira yake.Unamaanisha apewe shukran kwa kuwawezesha mawaziri kurudi bungeni.
Na ndiyo sababu sijasema mioyo yetu!. Inaonekana wewe umevurugwa hadi hujitambui tena.Yaliyopo moyoni mwako sio yaliyopo moyoni mwangu mimi. Wewe mfuate mie sito mfuata. Tusipangiane
What do you mean? Bro, open up with confidence!.Bila shaka huu mwandiko ni waprofesa Kibudu macho kodoo