Polepole amtaka Zitto Kabwe atafute kazi ya kufanya 2020

esther mashiker

JF-Expert Member
May 29, 2018
616
552
1137407

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Ndugu Humphrey Polepole amemwambia Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe, akatafute kazi nyingine ya kufanya ifikapo 2020.

Polepole amesema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa Wananchi wa jimbo hilo hawamuelewi utendaji kazi wake.

Aidha Polepole amemkosoa Zitto kwa kumwambia anaupotosha umma juu ya uchumi wa Tanzania na namna ambavyo Serikali ya Awamu ya Tano inavyotekeleza miradi ya maendeleo kwa kutumia fedha za ndani.
 
View attachment 1137407

Mkuu Polepole hakuna wa kudumu katika kazi Zitto ataondoka na wewe utaondoka ni suala la muda tu
 
Polepole mpeni yule Alhaji aliyeongea siku Raisi kakutana na Wafanyabiashara.Zitto kutwa huongelea uchumi was nchi Sio wa kigoma .Yule Alhaji anaujua uchumi was kigoma namna unavyoweza funguka na kupaa.Huyo mwongela was nchi atafute kazi nyingine
 
Ccm ilikuwa na watu hapo nyuma ila sasa yamebak majina hvyo hata yeye upesiupesi ajiandae kuondoka
 
View attachment 1137407

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Ndugu Humphrey Polepole amemwambia Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe, akatafute kazi nyingine ya kufanya ifikapo 2020.

Polepole amesema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa Wananchi wa jimbo hilo hawamuelewi utendaji kazi wake.

Aidha Polepole amemkosoa Zitto kwa kumwambia anaupotosha umma juu ya uchumi wa Tanzania na namna ambavyo Serikali ya Awamu ya Tano inavyotekeleza miradi ya maendeleo kwa kutumia fedha za ndani.
Yeye anauhakika atakuwepo mpaka hiyo 2020? Hawa watu nani amewaloga?
 
View attachment 1137407

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Ndugu Humphrey Polepole amemwambia Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe, akatafute kazi nyingine ya kufanya ifikapo 2020.

Polepole amesema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa Wananchi wa jimbo hilo hawamuelewi utendaji kazi wake.

Aidha Polepole amemkosoa Zitto kwa kumwambia anaupotosha umma juu ya uchumi wa Tanzania na namna ambavyo Serikali ya Awamu ya Tano inavyotekeleza miradi ya maendeleo kwa kutumia fedha za ndani.
polepole ni miongoni mwa raia wapuuzi kabisa wa tanzania... akiwa korogwe aliwambia wananchi waliotakiwa kubomolewa nyumba hawatabomolewa na raisi Magufuli. ni magufuli aliyebomoa nyumba za wananchi kifedhuli kule kimara.
 
Back
Top Bottom