Polepole amjibu Lowassa(CHADEMA) kuhusu kusamehewa kwa Babu Seya

Nazitamani na nazitafuta akili na busara za Polepole Humphrey wa Tume ya Warioba sizioni kabisa, sijui zilirukia wapi!!!!
Kama busara ni kwa pole pole kumsifu lowasa wa chadema basi utasubiri sana , na wala haitatokea, bora uwaze kingine.
 
Jamani wakati mwingine tuwe wakweli huyu polepole mimi siyo fan wake lakini sikutegemea kama ningesema hili kila alichokiongea kina maana kabisa. Hizi siasa za kurukia rukia mambo mazuri kutaka kuyamiliki basi akifanya na mengine wayachukue. Nilichokiona hapa kwa Chadema ni wivu tu wa kisiasa. Baada ya kumvuruga sana rais kwa matukio mengi na Lissu likiwemo walitaka approval ya rais ishuke lakini uzuri kwa mwenzao ana njia nyingi za kuwapiga bao na hii kaitumia kurudisha wale waliotoka ktk train lake hata kama hakua na mpango wa kumtoa. CHADEMA tafuteni njia nyingine ya kushindana na huyu maana inaonekana anaifahamu mikakati yenu yote.

Alili fupi itumiayo tumbo kufikiri
 
Huyu harakaharaka hapendagi kupitwa na habari..vingine hata havifai kujibiwa.Si akae kimya tu.
 
Pray 4 TL asieshakiwa kuwa muumini wa kwl wa haki za utu, Demokrasia, uzalendo na utawala bora. Mungu aweze kumponya haraka.
 
Hivi kweli kumuachia Babu Seya na mwanae ni jambo kutoleana macho? Huyu firauni aliyepaswa kufia jela ndio watu wanamgombea utadhani jambo la kujivunia wakati limetutia aibu dunia nzima kwamba tumemsamehe rappist kwa kutumia KATIBA yetu tukufu.
Tuache ujinga.
 
ACT wazalendo ishamezwa yooteee.. Na km ww n mpinzan ukijipendekeza CCM unapewa kazi.. huyuu pongeponge xjawai kujua n lin alijiunga na CCM zaidi ya kujipendekezaa tuu kumponda Lowasa ndo akapewa fadhila za huo ukatibu mweneez..
 
Back
Top Bottom