Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,326
- 17,522
Tatizo liko wapi yeye akiongea, mama anapenda demokrasia, sasa shida iko wapi?Kinachomsumbua pole pole kwa sasa siyo uzalendo Wala uchungu wa nchi yake,
Tatizo liko wapi yeye akiongea, mama anapenda demokrasia, sasa shida iko wapi?Kinachomsumbua pole pole kwa sasa siyo uzalendo Wala uchungu wa nchi yake,
Anachokisema Polepole kilikuwepo hata Serikali ya awam ya 5. Ni kawaida kabisa kuwa na kundi, anajisahaulisha labda kwa kupenda au kutokupenda ila hata yeye ni mmoja wa benefuciary wa hilo, na hakukemea wakati ule.Nikimsikiliza Polepole wala sion kama kuna mtu kamshambulia ye anaendana na somo lake, Historia ya kweli yq nchu mbalimbali nass tuwe macho kuepukana na vitu hivo! Chaajabu watu mnaibuka kumpinga as if kuna mtu anamtaja kwenye somo lake.
Hana lolote mkuu. Aliaminika zamani, kwa sasa hana mvuto tena. Mienendo yake baada ya kula mavyeo hayakuakisi Polepole yule tuliyemfaham hapo zamani. Na kwa kuwa muda ni mwalimu mzuri, na kwa kuwa Technology ni mchawi, atakumbushwa kwa maneno yake mwenyewe wakati akiwa mpigania nchi na wakati amepata vyeo.Only great thinkers watamuelewa pole pole. TIME HEALS ALL WOUNDS
Thank you, proud of kuliko hiko anachokifanya huyo fa.la pole pole
Unaijuwa V8 wewe?Anachokisema Polepole kilikuwepo hata Serikali ya awam ya 5. Ni kawaida kabisa kuwa na kundi, anajisahaulisha labda kwa kupenda au kutokupenda ila hata yeye ni mmoja wa benefuciary wa hilo, na hakukemea wakati ule.
Binafsi sikuwahi kumsikiliza ila Kama somo lake linalenga kumnanga kiongozi wa sasa basi watu watajua tuu hata Kama atatumia mafumbo.Nikimsikiliza Polepole wala sion kama kuna mtu kamshambulia ye anaendana na somo lake, Historia ya kweli yq nchu mbalimbali nass tuwe macho kuepukana na vitu hivo! Chaajabu watu mnaibuka kumpinga as if kuna mtu anamtaja kwenye somo lake.
Jiko lipi,mbunge viti maalumMwenzio yupo jikoni wewe unaebisha uko Tandahimba unalima korosho.
Hawa wanaamini kuna siku Askofu Rashid atamfufua dhalim mwendazake ili warudi kwenye chati tenaNakubaliana nawewe THE BIG SHOW hili genge la polepole enzi za magufuli ndio lilikuwa Sheria ndio waliamuwa Nani afe Nani aishi leo mpumbavu huyu amepigwa kumbo kwenye keki ya taifa anajidai anaanzisha shule ya unafiki mtupu. Na bado mabaya yanakuja juu yake. Ajiulize mbona mwenzake bashiru ameamuwa kuplay low profile?....
Mimi sijaona kama anamnanga kiongozi wa nchi isipokuwa kuna kihali cha kujishtukia.Binafsi sikuwahi kumsikiliza ila Kama somo lake linalenga kumnanga kiongozi wa sasa basi watu watajua tuu hata Kama atatumia mafumbo.
Kwani Polepole anachokifundisha amesema kipo katika Serikali ya Mama Samia? Amesema Serikali ya awamu ya 6 imepigwa copy? Binafsi naona Polepole anachokielezea nchi nyingi za Africa kipo na ndiyo kinatupa mkwamo katika maendeleo ya mataifa yetu.Anachokisema Polepole kilikuwepo hata Serikali ya awam ya 5. Ni kawaida kabisa kuwa na kundi, anajisahaulisha labda kwa kupenda au kutokupenda ila hata yeye ni mmoja wa benefuciary wa hilo, na hakukemea wakati ule.
Anasema serikali ya awamu ya sita inaendeshwa na kikundi kilicho nje ya serikali.Polepole anafundisha somo lake kwa ujumla lakini watu mnakuja kumchonganisha na rais kamakwamba uzalendo ni dhambi hakuna sehemu polepole kamtaja mtu lakini ndo abatungiwa uzi mwingi wa kumdhiaki. Ni kibaya kipi polepole amekiongea kama sik kujitia ujuwaji.