Polepole ajifunze kusoma alama za nyakati na aheshimu ulimwengu

Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,113
2,000
Nikimsikiliza Polepole wala sion kama kuna mtu kamshambulia ye anaendana na somo lake, Historia ya kweli yq nchu mbalimbali nass tuwe macho kuepukana na vitu hivo! Chaajabu watu mnaibuka kumpinga as if kuna mtu anamtaja kwenye somo lake.

Ngoja tupigwe kwanza ndipo tutamuelewa!
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,516
2,000
Mimi furaha yangu ni jinsi hawa fisi wakitifuana
FB_IMG_1616545580714.jpg
 
Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
8,641
2,000
Thank you, proud of kuliko hiko anachokifanya huyo fa.la pole pole
Nakubaliana nawewe THE BIG SHOW hili genge la polepole enzi za magufuli ndio lilikuwa Sheria ndio waliamuwa Nani afe Nani aishi leo mpumbavu huyu amepigwa kumbo kwenye keki ya taifa anajidai anaanzisha shule ya unafiki mtupu. Na bado mabaya yanakuja juu yake. Ajiulize mbona mwenzake bashiru ameamuwa kuplay low profile?

Pole pole akumbuke majina haya enzi zao za viieiteee.

Humphrey Polepole
Bashiru A. Kakurwa
Sipriani musiba
Paul Makonda
Lengai ole Sabaya
Ali Happy

Polepole unakumbuka hii team?
 
CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,942
2,000
Nikimsikiliza Polepole wala sion kama kuna mtu kamshambulia ye anaendana na somo lake, Historia ya kweli yq nchu mbalimbali nass tuwe macho kuepukana na vitu hivo! Chaajabu watu mnaibuka kumpinga as if kuna mtu anamtaja kwenye somo lake.
Anachokisema Polepole kilikuwepo hata Serikali ya awam ya 5. Ni kawaida kabisa kuwa na kundi, anajisahaulisha labda kwa kupenda au kutokupenda ila hata yeye ni mmoja wa benefuciary wa hilo, na hakukemea wakati ule.
 
CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,942
2,000
Only great thinkers watamuelewa pole pole. TIME HEALS ALL WOUNDS
Hana lolote mkuu. Aliaminika zamani, kwa sasa hana mvuto tena. Mienendo yake baada ya kula mavyeo hayakuakisi Polepole yule tuliyemfaham hapo zamani. Na kwa kuwa muda ni mwalimu mzuri, na kwa kuwa Technology ni mchawi, atakumbushwa kwa maneno yake mwenyewe wakati akiwa mpigania nchi na wakati amepata vyeo.
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,739
2,000
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Polepole atuambie tu stori za VIEITEEE..
Mengine binafsi simuelewi.
Gwajiboy kaufyataaaah

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Chitiva

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
337
500
Nikimsikiliza Polepole wala sion kama kuna mtu kamshambulia ye anaendana na somo lake, Historia ya kweli yq nchu mbalimbali nass tuwe macho kuepukana na vitu hivo! Chaajabu watu mnaibuka kumpinga as if kuna mtu anamtaja kwenye somo lake.
Binafsi sikuwahi kumsikiliza ila Kama somo lake linalenga kumnanga kiongozi wa sasa basi watu watajua tuu hata Kama atatumia mafumbo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom