Poleni vijana mnaomaliza vyuo kipindi hiki. Mnanyanyaswa na kudharauliwa sana na viongozi, eti mjiajiri wakati wao wana ajira

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,409
2,263
Jana job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. Maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri.

Poleni kwa sababu hata serikali haina mpango kabisa wa kuwaajiri tofauti na kipindi cha JK. Heri mfe wote ili miradi yake iendelee kujengwa.

Huyu rais hana huruma hata kidogo kwa vijana yeye anapenda international prides tu.

Nimesikia hata wale waliojiajiri kutengeza simu mtaani wameambiwa waache hiyo ni kazi ya watu wa veta na DIT.

Nchi hii sasa hivi imekuwa ngumu kuishi na soon rutaanza kukimbia nchi Kama wakimbizi.

Hata nafasi za jeshi ambazo zamani tulikuwa tunazidharau sasa hivi imekuwa issue. Ilifika kipindi kile ukienda polisi au jeshi Basi jamii inakuona Kama ulifeli form six au four. Eti sasa hivi ajira hazipo. Sasa sijui mmkimbilie nani Mana hakuna anayewajari kabisa

Poleni sana
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom