Poleni vijana mnaofikiria kuwa na pesa utapata mapenzi ya kweli

Wew umeelewa vibaya mkuu Yan ukiambiwa tafuta ela maana yake utafute ela kwa ajili ya kujenga maisha mazuri ya watoto wako na familia yako kwa ujumla
 
"Kijana tafuta pesa" ndio kauli utasikia vijana wengi wakishauriana....

Na pia wanawake mkiona nyuzi humu vijana wanapigizana kelele watafute pesa ili wawapate mnajiona mpo juu....lakini ukweli ni kwamba.... Wanaume wenye pesa wengi wao wanatumia nguvu ya pesa na wanakinai papuchi haraka.... hapiti mwezi anabadilisha papuchi....

Kwa sababu wanaamini hakuna kisichowezekana kwenye pesa alizonazo, mabinti mtalia kilio cha kusaga meno kwenye mahusiano....
Mpaka hapo alipofika na mali alizonazo unafikiri amekuona wewe tu :) Think!!!!

Mnaoandika hizi nyuzi kama ni suala la pesa semeni ni pesa kiasi gani... mnawapotosha vijana wa kiume na wa kike....

Dada sikia kama una mwanaume wako anaweza kujimudu kwenye basics..chakula... mavazi...makazi n.k na anakupenda ishi nae...
Gari siku hizi hata mil 3 unapata acheni ujinga, v8 ni gari iliyochangamka tu kama passo...

Mbona mihogo chai asubuhi ni breakfast ya nguvu, mchana ubwabwa maharagwe mboga za majani na matunda life linasonga... mnaweka bajeti yenu saaafi mtaenjoy sana...
kikubwa kama mna ndoto na mnapeana usaidizi mtafika hilo v8 mtalipata tu, hio crown mtapata... hio nyumba ya geti mtapata tu...

Bora utoke na mtu chini mki hustle kutafuta kuliko mtu mwenye nazo... hamjui tu wanaume wenye pesa wanavyowachukulieni....

Huwezi mkamata mwanaume mwenye pesa kwa hips lako, kalio, rangi yako, uzuri wa uso wako.... usijidanganye...mara chache sana kutokea...ataipiga anatembea

Wanyonge na wenyewe wanahitaji mapenzi jamani....

Tulieni na wanangu wa Ghetto.... wanangu wana mapenzi ya dhati... hamjui tu ukimkubali mwanaume asiye na gari(kipato kikubwa) jinsi anavyokuwazia... anajisemea moyoni siku moja atakupa hata dunia...hawezi kusema kwa sababu utamwona muongo...

Na nyie wanangu msiwa umize shemeji zangu.... one day mtakuwa nyuma ya wheels... nani alijua from Tandale leo atamiliki Rolls Royce...

Naongea nimepita huko leo hii... God ame bless... amejua kwa nini back in days nilimwambia tulia na mimi... mpaka analia... namwambia mamaaaa... hapo bado...

Nakutana na pisi kali zinajilengesha zikishoboka na kipando ... lakini siwezi msahau mama chanja... ningekuwa mzinzi ningezichapa halafu nakata mazoea.... siwezi msahau mwanamke nimetoka naye chini hata nikutane na pisi kumzidi nikichapa nikimaliza akili inanirudisha kwake....

Thanks...
huyu ni MANARA wetu kabisaaaa...hahahahah
 
Utawasikia

"mwanamme asiye na hela nimpeleke wapi.....Bora kulia kwenye Vogue kuliko kucheka kwenye baiskeli..........."
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom