Poleni vijana mnaofikiria kuwa na pesa utapata mapenzi ya kweli

Pole na Hongera, vyote jibu lake ni Asante

Mkuu achana na pesa kwenye hii dunia,, pesa ndio kila kitu...

kama wewe mwenyewe unatafuta pesa ili usiwe kama ulivo,, kwanini utake mtu akupende the way you are wakati hata wewe mwenyewe hujipendi the way you are, ndio maana daily unazitafuta ili ubadilike..


alisikika mchoma mahindi akisema
Hoja ya msingi inaanzia hapa
 
Hivi mtu anaemiliki gari ndio mwenye pesa?

Inashangaza ee..
Kama alichukua mkopo mil 15 ndio akanunua hio gari ist na iliyobaki akaila bata unaweza kumlinganishaje na mtu mwenye biashara yenye uhakika wa kumuingizia laki 400000 kwa mwezi huku mkopo aliochukua benk Ni 6mil tu?

Nadhani focus na uhakika wa kipato kwa ajili ya kulea familia ndio muhim zaidi kuliko kuangalia present situation.
 
Mitandao imeharibu sana mfumo wa maisha. Propaganda zimekuwa nyingi mno.

pesa hainunui upendo wa kweli

ila ni muhimu tu ktk kutatua changamoto za kila siku za maisha ya familia ambayo tayari imejengwa ktk upendo.
 
"Kijana tafuta pesa" ndio kauli utasikia vijana wengi wakishauriana....

Na pia wanawake mkiona nyuzi humu vijana wanapigizana kelele watafute pesa ili wawapate mnajiona mpo juu....lakini ukweli ni kwamba.... Wanaume wenye pesa wengi wao wanatumia nguvu ya pesa na wanakinai papuchi haraka.... hapiti mwezi anabadilisha papuchi....

Kwa sababu wanaamini hakuna kisichowezekana kwenye pesa alizonazo, mabinti mtalia kilio cha kusaga meno kwenye mahusiano....
Mpaka hapo alipofika na mali alizonazo unafikiri amekuona wewe tu :) Think!!!!

Mnaoandika hizi nyuzi kama ni suala la pesa semeni ni pesa kiasi gani... mnawapotosha vijana wa kiume na wa kike....

Dada sikia kama una mwanaume wako anaweza kujimudu kwenye basics..chakula... mavazi...makazi n.k na anakupenda ishi nae...
Gari siku hizi hata mil 3 unapata acheni ujinga, v8 ni gari iliyochangamka tu kama passo...

Mbona mihogo chai asubuhi ni breakfast ya nguvu, mchana ubwabwa maharagwe mboga za majani na matunda life linasonga... mnaweka bajeti yenu saaafi mtaenjoy sana...
kikubwa kama mna ndoto na mnapeana usaidizi mtafika hilo v8 mtalipata tu, hio crown mtapata... hio nyumba ya geti mtapata tu...

Bora utoke na mtu chini mki hustle kutafuta kuliko mtu mwenye nazo... hamjui tu wanaume wenye pesa wanavyowachukulieni....

Huwezi mkamata mwanaume mwenye pesa kwa hips lako, kalio, rangi yako, uzuri wa uso wako.... usijidanganye...mara chache sana kutokea...ataipiga anatembea

Wanyonge na wenyewe wanahitaji mapenzi jamani....

Tulieni na wanangu wa Ghetto.... wanangu wana mapenzi ya dhati... hamjui tu ukimkubali mwanaume asiye na gari(kipato kikubwa) jinsi anavyokuwazia... anajisemea moyoni siku moja atakupa hata dunia...hawezi kusema kwa sababu utamwona muongo...

Na nyie wanangu msiwa umize shemeji zangu.... one day mtakuwa nyuma ya wheels... nani alijua from Tandale leo atamiliki Rolls Royce...

Naongea nimepita huko leo hii... God ame bless... amejua kwa nini back in days nilimwambia tulia na mimi... mpaka analia... namwambia mamaaaa... hapo bado...

Nakutana na pisi kali zinajilengesha zikishoboka na kipando ... lakini siwezi msahau mama chanja... ningekuwa mzinzi ningezichapa halafu nakata mazoea.... siwezi msahau mwanamke nimetoka naye chini hata nikutane na pisi kumzidi nikichapa nikimaliza akili inanirudisha kwake....

Thanks...
Mwenye mapenzi ya kweli ni mama yako tu.
 
Hata huo ugali dagaa pia bila jasho huwezi upata so hapo utaangalia utoke jasho linalonuka kauzu au beef
Lazima utoke jasho la kauzu kabla ya kutoka jasho la beef... na hakuna kuchagua hapo... natumaini umenipata.......
 
Kweli kaka watu tutafute hela owa ajili ya watoto wetu lakini sio utafute hela kwa ajili ya demu afu istoshe demu unaempata kwa gia ya hela siku zote ni Gold digger tu hana mapenz ya ukwel
Nakupata sana... gia za pesa huwa ni one night stand...
 
Hivi mtu anaemiliki gari ndio mwenye pesa?
Inashangaza ee..
Kama alichukua mkopo mil 15 ndio akanunua hio gari ist na iliyobaki akaila bata unaweza kumlinganishaje na mtu mwenye biashara yenye uhakika wa kumuingizia laki 400000 kwa mwezi huku mkopo aliochukua benk Ni 6mil tu?
Nadhani focus na uhakika wa kipato kwa ajili ya kulea familia ndio muhim zaidi kuliko kuangalia present situation.
Ni mfano, gari sio kuwa una pesa... ila nilishuhudia mtu katoswa eti kisa hana gari... unaweza ona ni utani au chai lakini baadhi ya wanawake wana akili za ajabu, nahisi wanawaza kama ananunua mafuta na kufanya service hatokosa pesa za kwenda saloon n.k....
 
Mitandao imeharibu sana mfumo wa maisha. Propaganda zimekuwa nyingi mno.

pesa hainunui upendo wa kweli

ila ni muhimu tu ktk kutatua changamoto za kila siku za maisha ya familia ambayo tayari imejengwa ktk upendo.
Pesa itakupa vyakula vya kila aina lakini sio appetite... big up sana
 
"Kabla hujapata mapenzi ya kweli inabidi umpate mpenzi kwanza na ili umpate mpenzi ni lazima uwe na pesa kwanza" Ukweli mchungu ila vijana tuendelee kutafuta pesa kwanza kabla ya Mpenzi na Mapenzi yenyewe.
 
Back
Top Bottom