akizungumza na Vyombo vya Habari katibu mkuu wa Yanga ndugu KIZUGUTO ALIWAOMBA Wabunge wa CCM wapatao 160 kutimiza ahadi zao walizo toa bungeni mwaka jana timu hiyo ilipo alikwa bungeni baada ya kuchukua kombe la kagame,Wabunge hao ambao ni washabiki na wanachama wa yanga walitoa ahadi bungeni hapo ya kutoa kiasi cha Tsh. 500,000/- kama malipo ya kadi zao na mchango wao kuendeleza klabu hiyo lakini bado yanga hawajapokea hata senti moja kutoka kwa wabunge hao katibu mkuu wa yanga alisisitiza kuwa wanazisubiria hizo fedha kiasi cha Tsh.80,000,000/- ili ziwasaidie kuendeleza klabu yao.
MY TAKE:-Watani wangu YANGA Msitegemee Ahadi yoyote ya CCM kutekelezwa huku vijijini waliahidi vitu vingi sana tangu mwaka 2010 lakini hawaja tekeleza japo tuliwapa kura kwa hiyo na nyinyi mlidhihakiwa tu kama sisi.