Poleni sana yanga kwani hamuijui ccm!!!!

laigwenan

JF-Expert Member
Apr 13, 2012
325
195
akizungumza na Vyombo vya Habari katibu mkuu wa Yanga ndugu KIZUGUTO ALIWAOMBA Wabunge wa CCM wapatao 160 kutimiza ahadi zao walizo toa bungeni mwaka jana timu hiyo ilipo alikwa bungeni baada ya kuchukua kombe la kagame,Wabunge hao ambao ni washabiki na wanachama wa yanga walitoa ahadi bungeni hapo ya kutoa kiasi cha Tsh. 500,000/- kama malipo ya kadi zao na mchango wao kuendeleza klabu hiyo lakini bado yanga hawajapokea hata senti moja kutoka kwa wabunge hao katibu mkuu wa yanga alisisitiza kuwa wanazisubiria hizo fedha kiasi cha Tsh.80,000,000/- ili ziwasaidie kuendeleza klabu yao.

MY TAKE:-Watani wangu YANGA Msitegemee Ahadi yoyote ya CCM kutekelezwa huku vijijini waliahidi vitu vingi sana tangu mwaka 2010 lakini hawaja tekeleza japo tuliwapa kura kwa hiyo na nyinyi mlidhihakiwa tu kama sisi.
 
PETER TEMU

Member
Nov 20, 2013
39
0
Ilikuwa ni Wabunge wote wapenzi wa YANGA haikuwa wa CCM pekee yao.ina maana huko CDM, CUF, NCCR, TLP hakuna Wabunge ambao ni Yanga?
 
kilambalambila

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
8,894
2,000
Ilikuwa ni Wabunge wote wapenzi wa YANGA haikuwa wa CCM pekee yao.ina maana huko CDM, CUF, NCCR, TLP hakuna Wabunge ambao ni Yanga?

jibu zuri sana, watu wengine kila kitu wanakiwasilisha kwa kuongozwa na mahaba ya kisiasa tu hata kama hakiko kisiasa! #div .5#
 
limbongambonga

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
219
195
akizungumza na Vyombo vya Habari katibu mkuu wa Yanga ndugu KIZUGUTO ALIWAOMBA Wabunge wa CCM wapatao 160 kutimiza ahadi zao walizo toa bungeni mwaka jana timu hiyo ilipo alikwa bungeni baada ya kuchukua kombe la kagame,Wabunge hao ambao ni washabiki na wanachama wa yanga walitoa ahadi bungeni hapo ya kutoa kiasi cha Tsh. 500,000/- kama malipo ya kadi zao na mchango wao kuendeleza klabu hiyo lakini bado yanga hawajapokea hata senti moja kutoka kwa wabunge hao katibu mkuu wa yanga alisisitiza kuwa wanazisubiria hizo fedha kiasi cha Tsh.80,000,000/- ili ziwasaidie kuendeleza klabu yao.

MY TAKE:-Watani wangu YANGA Msitegemee Ahadi yoyote ya CCM kutekelezwa huku vijijini waliahidi vitu vingi sana tangu mwaka 2010 lakini hawaja tekeleza japo tuliwapa kura kwa hiyo na nyinyi mlidhihakiwa tu kama sisi.

Yapasa ufahamu Mbowe na Mnyika Yanga vp nao ni CCM? Unapoweka thread hapa uwe umeamka na akili timamu sio uwe umekunywa gongo ya Mushumbusi wa Slaa na ukwa umeamka mning'inio wa ziada domo linanuka unaandaa uzi hauna hata mashiko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom