Poleni sana wana Simba

Mimi mpenzi wa mpira na mpenzi wa Yanga,sio shabiki kama ww na mpira naujua Boko na Fraga hawakuwa offside.Waamuzi sasa hivi hawajiamini na wana presha sababu Mwenzao kafungiwa miaka mitatu.
Kuna kiongozi ataenda kwenye press huku amebeba tv...
 
Mpira ni dakika tisini. Ndivyo ilivyotokea leo. Poleni sana. Mpira wenu kwa kweli umerudi nyuma sana siyo kama wakati wa Patrick ausemms. Mjitafakari muone kuna tatizo wapi. Lile boli la kutandaza halipo tena.

Muwe na makocha wazuri wa makipa. Naona makipa wote wawili wana matatizo fulani. Wote ni wazuri lakini mipira inayowapita ni mipira isiyotarajiwa.

Nahitimisha tena POLENI SANA.
Aussems nae alikuwa mbovu tu, kocha Simba alikuwa Masoud Djuma na Leschante.

Ni wakati sasa wa kuanza kuwaamini makocha wazawa, mbona tunaona timu zao zina mbinu nzuri kimpira? Angalia Polisi, JKT Tz, Mtibwa, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la SIMBA linaanzia kwa mwekezaji, bodi ya wakurugenzi, msemaji.

Haiingii akilini unamtimua Uchebe afu unaleta kocha ambaye CV yake haipishani na ya Zuberi Katwila
 
Tatizo la SIMBA linaanzia kwa mwekezaji, bodi ya wakurugenzi, msemaji.

Haiingii akilini unamtimua Uchebe afu unaleta kocha ambaye CV yake haipishani na ya Zuberi Katwila
Tatizo sio kocha, hata bila kocha timu inashinda, tatizo ni timu zingine haziongek!
 

Attachments

  • Huyu mzee ana zeeka vibaya anaandika ujinga huu halafu anafuta, sasa namwambia h ( 937 X 750 ).jpg
    Huyu mzee ana zeeka vibaya anaandika ujinga huu halafu anafuta, sasa namwambia h ( 937 X 750 ).jpg
    48.3 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom