Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,834
- 38,716
Makala piga kazi Baba,tuondelee vurugu na uchafu kwenye Jiji letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu.
Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015.
Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki .
Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .
View attachment 1949458