Poleni sana wamachinga, hiyo ndiyo CCM haijawahi kubadilika

Kila siku unapiga kelele humu kuwa wamachinga wamezidi na miji yetu ipangwe! Leo serikali imefanya kweli, unageuka unaanza kuil au ku! Huo ni undumilakuwili lack of ideological senses
Ccm ni janga kuliko hata corona
 
Siipendi ccm ila kwa hili nawaunga mkono, hao jamaa wanafanya biashara kila sehemu
Hapo huna njia ya kutoilaumu ccm maana hao machinga wamezalishwa na uhaba wa ajira na ccm ndiyo chama kinachounda serikali.

Unashindwaje kuilaumu ccm?
 
Tutawajengea tena miezi 3 kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 ila kwa sasa watusamehe kwanza tunajenga nchi.

Nchi haiwezi kuwa na vibanda popote pale..haiwezekani..majiji yote duniani yana sheria za miji na ni lazima ziheshimike.
 
Nakumbuka mchoma mahindi pale njia panda ya kilosa na dodoma
 
My Take
Naona serikali ya Samia imeanza kufanya mambo kama wachawi, inategea wamachinga wamelala, bila jicho la media inaenda kuvunja vibanda vyao

Huu siyo uungwana hata kidogo. Hawa watu walitoa shilingi elfu ishiriniishirini zao, mkawaahidi kufanya biashara popote, leo kwenda kuwavunjia usiku wa manane siyo uungwana hata kidogo.

Najua lengo ni kuondoa kumulikwa na jicho la wananchi kwenye operesheni yenu ya kikatili na pia ili wamachinga wasijimobilize kuresist ndiyo maana mbavamia usiku wa manane kimya kimya na kuwavunjia. Hii siyo heshima kabis kwa wananchi, this is wrong!
 
Tatizo wamachinga wanajiweka kwenye kundi la vulnerable kama wasiojiweza wazee na watoto. Wanataka serikali iwapatie sehemu za biashara, iwape mitaji, wasifuate sheria zozote, wasilipe kodi , hata akiwa na uwezo wa kukodi fremu hataki
Ni TANZANIA pekee kila mtu hata mwenye uwezo anajiita machinga!
Kwa kilichofanyika wengi hawatapenda ila ukweli ni kwamba lililofanyika ni sahihi japo linaumiza kwa upande mmoja ila unapokuwa machinga kuna limit yake unakaa umachinga miaka ishirini ww mtaji wako huwa haukuwi?

Angalia wageni wanakwenda na kutoka airport wanapokelewa na vibanda huku wakijua Tz ni nchi ya uchumi wa kati hilo nalo ni sawa?

Mji lazima upangwe watu waishi kwa sheria na sio mazoea
Watakuja wa kulaumu ambao wao yawezekana ndio wawezeshaji wa hao machinga/ wanaowapa mizigo kwa kukwepa kodi ,na hili ndo kundi kubwa nyuma ya pazia

Nb;kupanga ni kuchagua miji yote Tz lazima isafishwe na ipangwe upya
 
lqkini huwezi kuvunja jiji zima na mali zikiwemo..siwaliwapa mwezi mmoja..mama samia atie ajira kwa malaki ya graduates ana kama hawezi basi aache watu wajitafutie riziki..utqratibu uliotumika Dar ni wakikatili sana kwa watu masikini..Hii Tabia ilikuwepo wakati wa kikwetwe..mgambo kuwanyanganya machinga mali zao
 
Anacheza na moto!
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom