Poleni sana vijana wangu wa TMAA

Mzee mshahara wa milioni 5 ni mdogo? Watu wanaopewa kila kitu kuanzia nyumba hadi usafiri kwanini ukimpa 5m isimtoshe? Kwanza mishahara inapanda kiholela sana mfano TANAPA mwaka 2015 walidabo mishahara kwa wafanyakazi wote bila sababu yule DG wa TANAPA alikuwa analipwa 5.5 akaenda 11m, hawa wapika chai na wafagizi ambao walikuwa wanalipwa laki 7 wakaenda 1.4m kwa kazi ipi hasa? Watu walipwe kulingana na kaziwanazofanya
Umemalizia kusema watu walipwe kuendana na kazi wanazofanya ni sawa
Kuna watu wako kwenye mzunguko wa pesa mabilioni ya pesa za serikali yanapita mikononi mwao na kuendana na professional zao wanalipwa pesa nyingi Kama hivyo mil25 au zaidi ili angalau wasiwe na changamoto za kipesa Sasa ukimlipa mtu kama huyo mil5 haiwezi kumtosha lazima atengeneze mifereji ya kuiba
 
Hakuna sheria ya kumpunguzia mtumishi mshahara,labda wata punguza posho alizo kuwa akipata,hizo zingine ni siasa kama siasa zingine tu.
 
Rais yupo sahihi kabisa kwanini wengine wapate mamilioni na huku wengine wanapata vi laki tu!!!
Mzee tengeneza nchi ili watu tuheshimiane.
Mshamba tu na roho mbaya, mbona yeye analipwa mamilioni? Na bado anaiba
 
Umemalizia kusema watu walipwe kuendana na kazi wanazofanya ni sawa
Kuna watu wako kwenye mzunguko wa pesa mabilioni ya pesa za serikali yanapita mikononi mwao na kuendana na professional zao wanalipwa pesa nyingi Kama hivyo mil25 au zaidi ili angalau wasiwe na changamoto za kipesa Sasa ukimlipa mtu kama huyo mil5 haiwezi kumtosha lazima atengeneze mifereji ya kuiba
...mkuu hii dhana sio sahihi..hakuna mtu asiye na umuhimu kwenye sekta ya kazi au Aliye muhimu kuliko wote..watumishi wote ni sawa uki-analyse critically...mfano mdogo huyo aliyeko kwenye mzunguko mkubwa wa pesa akiumwa anamhitaji daktari maana pesa anazosimamia haziwezi kumtibu..pia anahitaji ulinzi wa polisi na jeshi ili aishi kwa usalama&amani..kifupi tunategemeana kama viungo vya mwili hakuna anayemzidi wenzake kwa umuhimu
 
Madini yakikaguliwa na mtu mwenye mshahara wa TGS D ni hatari sana, maana mkaguzi ana njaa hadi kwenye soli ya viatu
dah aisee expert tuombe radh watu wa tgsd.mbona tupo fresh tu na maisha yanaenda no posho no perdiem wala nin flengwa tu
 
Mzee mshahara wa milioni 5 ni mdogo? Watu wanaopewa kila kitu kuanzia nyumba hadi usafiri kwanini ukimpa 5m isimtoshe? Kwanza mishahara inapanda kiholela sana mfano TANAPA mwaka 2015 walidabo mishahara kwa wafanyakazi wote bila sababu yule DG wa TANAPA alikuwa analipwa 5.5 akaenda 11m, hawa wapika chai na wafagizi ambao walikuwa wanalipwa laki 7 wakaenda 1.4m kwa kazi ipi hasa? Watu walipwe kulingana na kaziwanazofanya
aisee.yan ukijibana bana miez 6 tayari upo lenta.mwaka umepaua
 
Yani kaka kuna mambo yanashangaza kweli, hivi ajira ya kukupa 5M fixed ndani ya miezi yote ya mwaka halafu mtu analalamika? Mtu wa aina hii ku Save 30M kila mwaka inawezekana tena bila stress za kukimbizana na maafisa kodi.

Biashara proper isio na kipengele itakayokupa net ya 5M inataka mtaji mkubwa kiasi chake ikiwa ni pamoja na kero za hali ya juu za TRA officers. Af mtu uanze kusumbua wizara ya utumishi. Hii ni kwa mtu asiyejua fedhea ya kukosa kazi kwa kweli hasa zama hizi ambazo maisha ni magumu kuliko maelezo.
yan mim ningekua nasave 4.5m kila mwez.
 
mkuu ,hivi unajua ni mtumishi wa ngazi ipi analipwa hiyo milioni tano,inayotaka asevu 30 mln kwa mwaka???

wengi ni wazee wenye miaka zaidi ya 30 kazini,ni either wamebakiza miezi au siku kadhaa watundike daruga.
ingekuwa watoto wenye miaka minne kazini ndio wanaanza na mshahara mbona ynagekuwa maua.
yan hio mpaka uje uipumulie.30yrs huko ma principal na ashakaa almost tanzania nzima
 
Sasa hizi hussle zote utafananisha na kubonyeza laptop kwenye AC masaa 8 na kushiriki vikao vyenye posho? Wacha watu walilie kazi tu aisee biashara ni kitu tuff kama huna hela ya maana.
sure mkuu.kama una mpunga wako wa maaana unatandika yutong 200.road
 
...mkuu hii dhana sio sahihi..hakuna mtu asiye na umuhimu kwenye sekta ya kazi au Aliye muhimu kuliko wote..watumishi wote ni sawa uki-analyse critically...mfano mdogo huyo aliyeko kwenye mzunguko mkubwa wa pesa akiumwa anamhitaji daktari maana pesa anazosimamia haziwezi kumtibu..pia anahitaji ulinzi wa polisi na jeshi ili aishi kwa usalama&amani..kifupi tunategemeana kama viungo vya mwili hakuna anayemzidi wenzake kwa umuhimu
Ni ajabu kwakweli,utasikiaa yuko kwenye mzunguko wa pesa mkubwa sijui anakusanyaa pesa hv hao wanaozalisha hizo pesa wasipokuwepoo yeye atakua anakazi gani hapo,,,yaani wanajikutaa kana kwambaaa wao ndo wazalishaji wa kuu wa hizo pesa kumbe ni wasimamiz tu.
 
Mawazo ya kiumaskini hayo...

Wala si mawazo ya kimasikini ila umeshindwa kuelewa mantiki ya msemaji ni jambo la kushangaza ktk taasisi za serikali ambazo waajiriwa wawili wenye vigezo vya kielimu sawa na vyeo vyao sawa ila wako taasisi tofauti wazidiane mshahara kwa kiwango cha milioni kuendelea huo ni wizi mkubwa
 
...mkuu hii dhana sio sahihi..hakuna mtu asiye na umuhimu kwenye sekta ya kazi au Aliye muhimu kuliko wote..watumishi wote ni sawa uki-analyse critically...mfano mdogo huyo aliyeko kwenye mzunguko mkubwa wa pesa akiumwa anamhitaji daktari maana pesa anazosimamia haziwezi kumtibu..pia anahitaji ulinzi wa polisi na jeshi ili aishi kwa usalama&amani..kifupi tunategemeana kama viungo vya mwili hakuna anayemzidi wenzake kwa umuhimu
Me naona ni wivu na umasikini tu kwa sababu sijaona mkiongelea kupunguza mishahara mikubwa na kuwaongezea wenye midogo
Lakini sijaelewa unavyosema mishahara iwe sawa unataka mkurugenzi wa TRA alipwe sawa na Askari wa level ya chini kabisa au mwalimu mweye certificate?
Ni kitu ambacho hakipo

Swala la kujiongezea mishahara ni kwamba kwa mfano mkurugenzi kapewa Taasisi ina wafanyakazi 1000 labda kawakuta na mishahara yao kama ilivyo lakini makusanyo ya Taasisi kwa mwezi labda ni bil10 na imekuwa hivyo kwa miaka mingi tu Sasa uongozi wa mkurugenzi huyu mpya ukawa wa tofauti kidogo
Makusanyo yakapanda mpaka kufikia bil20 kwa mwezi maana yake ufanyaji kazi lazima utakuwa umeongezeka kidogo miongoni mwa wafanyakazi
Wakaona tukiongeza watu 100 kwenye ajira majukumu yatakuwa sawa kwa sababu kazi zimekuwa nyingi kidogo
Sasa kwa sababu hiyo watu wakijiongeza mishahara kuna tatizo gani hapo?
 
Maumivu yake ni zaidi ya kuumwa jino kutoka scale za taasisi hadi TGS hili haliwezekani. Familia utaiambia nini?

Na huo ndio uzembe mwingine uliofanyika kwa nini taasisi za serikali zisiingizwe ktk scale za serikali(TGS) toka awali?
 
Hakuna nchi yeyote duniani taasisi zake watumishi wanafanana mishahara,HAKUNA.Sisi watanzania kinachotusumbua ni wivu wa kimaskini na political stunt.Tizama tu hizi pillars 3 za serikali,mishahara za Executive haifanani na Judiciary na pia ya Judiciary haifanani na Legislature.Kinachotakiwa ni kufanya review hizi class za mishahara,watu wa chini walipwe mshahara unaoendana na uhalisia wa maisha ila sio kusema mishahara ilingane au kuanza kupunguzia watu mishahara bila sababu za msingi.Hata USA mtu anayefanya kazi NASA au jeshi la anga la marekani mishahara yao haiwezi fanana na watu wa wizara nyingine.Kule NASA wanaingia watu wenye akili na walisoma wakafaulu vizuri shuleni,wanalipwa kutokana na juhudi zao na huwezi skia mtu analalamika bali watoto wanakuwa na dream ya kwenda kufanya kazi NASA inakuwa kama motivating factor.Tuachano na akili za kimaskini na kutafuta umaarufu usio na maana,hata kama ukiwalipa 2M bado kuna mtu anayelipwa 200k ataona anayelipwa 2M analipwa sana zaidi.
 
..mkuu upo right kwenye baadhi ya maelezo but sio kweli kuwa usa watu wenye akili tu ndio wanaingia NASA...usa kuna best students wengi wanaenda kwenye fani ya upolisi, ufundi magari, usafi wa mazingira,etc na wanalipwa vizuri kuliko huko NASA..kule kazi ni passion kwanza kuliko salary.
 
Me napendekeza walipwe laki 5 kwani kuna tatizo wakuu?
Kuna classmate wawili, mwanajumuiya mmoja na wengineo.

Nimesikia agizo la rais juu ya kupunguziwa mishahara najua agizo hili litaathiri pakubwa mfumo wenu wa maisha.

Jambo la msingi mjipange kukabiliana na mabadiliko mapya ila msiache kazi maana kipindi hiki biashara ni ngumu mno.

Endeleeni kupambana hata mtaani kuna watu hata kazi hawana na maisha yanaenda.

Watumishi wengine pia tujipange lolote laweza tokea kipindi hiki.
 
Me naona ni wivu na umasikini tu kwa sababu sijaona mkiongelea kupunguza mishahara mikubwa na kuwaongezea wenye midogo
Lakini sijaelewa unavyosema mishahara iwe sawa unataka mkurugenzi wa TRA alipwe sawa na Askari wa level ya chini kabisa au mwalimu mweye certificate?
Ni kitu ambacho hakipo

Swala la kujiongezea mishahara ni kwamba kwa mfano mkurugenzi kapewa Taasisi ina wafanyakazi 1000 labda kawakuta na mishahara yao kama ilivyo lakini makusanyo ya Taasisi kwa mwezi labda ni bil10 na imekuwa hivyo kwa miaka mingi tu Sasa uongozi wa mkurugenzi huyu mpya ukawa wa tofauti kidogo
Makusanyo yakapanda mpaka kufikia bil20 kwa mwezi maana yake ufanyaji kazi lazima utakuwa umeongezeka kidogo miongoni mwa wafanyakazi
Wakaona tukiongeza watu 100 kwenye ajira majukumu yatakuwa sawa kwa sababu kazi zimekuwa nyingi kidogo
Sasa kwa sababu hiyo watu wakijiongeza mishahara kuna tatizo gani hapo?
..mkuu unaongelea angle moja tu ya kukusanya sijui pesa..ni hivi suala la kiwango cha salary ni pana sana sio kwenye kuzalisha tu pesa...kuna kada nyingine uzalishaji wao ni mkubwa ila haupimiki kwa kiwango cha pesa unachokiona kwa macho..mfano daktari akiamua kucharge gharama ya kukutibu kwa kiwango cha juu ili aongeze uzalishaji watu wataweza kulipia?.jeshi la polisi liamue kutoa gharama kwa amani&usalama inalotoa ili kujiongezea kipato zaidi watu wataweza kulipia?..hili suala ni pana sana na ndio hapo unaona kila mtu ana umuhimu wake tena sana.
 
Back
Top Bottom