Poleni sana vijana wa UKAWA

NYARUKURURU

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
349
199
POLENI SANA VIJANA WA CUF NA UKAWA KWA UJUMLA.

Vijana wa CUF na vyama vya upinzani kuweni makini na vyama vyenu ni vya kitapeli na kinafiki mtajikuta mnapoteza muda badala ya kutafuta chama makini Kama wenzenu akina Mchange na Machali walivyoshutuka.

Mwaka huu katika uchaguzi wa marudio Zanzibar viongozi wa juu wa CUF walisusia kwa madai ya kwamba haukuwa wa haki na huru, na kuwadanganya wanachama wao kuwa wataenda ICC lakini mpaka sasa hawajatoa majibu kuwa Mahakama hiyo iliwambiaje.

Cha kushangaza mwakani trh 22 January kuna uchaguzi wa marudio katika jimbo la Dimani mjini magharibi kisiwani Unguja CUF wameteua wagombea watatu ili kumpata mmoja apeperushe Bendera yao ktk uchaguzi huo.

Sasa ninyi vijana wa Ukawa kweli mna akili timamu kwanini msikosoe viongozi wenu kwa kuwapotosha? Kwa sababu Jecha mliesema hamna imani nae bado yupo ndani ya Tume na wajumbe wa Tume bado ni wale wale.

Kwa kweli ninyi ni watu wa ajabu sijawahi kuona wala kusikia katika sayari hii ya Dunia, yaani mnaruka mkoja na kukanyaga mavi!!! Ninyi hamjitambui.

By comrade
Mwita nyarukururu
Mpinga mafisadi
 
Vijana wa Cuf na vyama vya upinzani kuweni makini na vyama vyenu ni vya kitapeli na kinafiki mtajikuta mnapoteza muda badala ya kutafuta chama makini Kama wenzenu akina Mchange na Machali walivyoshutuka.

Mwaka huu katika uchaguzi wa marudio Zanzibar viongozi wa juu wa Cuf walisusia kwa madai ya kwamba haukuwa wa haki na huru, na kuwadanganya wanachama wao kuwa wataenda ICC lakini mpaka sasa hawajatoa majibu kuwa Mahakama hiyo iliwambiaje.

Cha kushangaza mwakani trh 22 January kuna uchaguzi wa marudio katika jimbo la Dimani mjini magharibi kisiwani Unguja Cuf wameteua wagombea watatu ili kumpata mmoja apeperushe Bendera yao ktk uchaguzi huo.
Sasa ninyi vijana wa Ukawa kweli mna akili timamu kwanini msikosoe viongozi wenu kwakuwapotosha?
Kwasababu Jecha mliesema hamna imani nae bado yupo ndani ya Tume na wajumbe wa Tume bado ni wale wale.

Kwa kweli ninyi ni watu wa ajabu sijawahi kuona wala kusikia katika sayari hii ya Dunia, yaani mnaruka mkoja na kukanyaga mavi!!! Ninyi hamjitambui.
By comrade
Mwita nyarukururu
Mpinga mafisadi
Unedhihirika kuwa wewe ni kilazza na hujui kitu lakini unafikiri unajua. Huu ni mfano tuu wa Vijana wengi wa Ccm walivyo.
Rudi kawaulize wenzako Uchaguzi huo wa Mbunge unasimamiwa na nani? ZEC au NEC?
Wakikujibu ndio utajua kipimo cha uelewa wako ukoje.
Ni aibu kwa mtu ambaye siku zote unakuja na hoja za kujifanya kujua wakati jambo kama hili hata ma beki tatu majumbani wanajua. Huu ni ujuha
 
1478154751994.jpg
alafu leo wanadanganya wananchi eti wapo siriasi, wasanii tupu
 
Nilisha sema fanyeni kazi acheni siasa vijana, wote wanajuana na wanajua nini wanafanya jaman,. Muvi linaendelea mwaka 2020 stering afi mpaka picha linakwisha , watakufa majambazi2,bingwa anajulikana ,funika kombe mwanaharam apite
 
POLENI SANA VIJANA WA CUF NA UKAWA KWA UJUMLA.

Vijana wa CUF na vyama vya upinzani kuweni makini na vyama vyenu ni vya kitapeli na kinafiki mtajikuta mnapoteza muda badala ya kutafuta chama makini Kama wenzenu akina Mchange na Machali walivyoshutuka.

Mwaka huu katika uchaguzi wa marudio Zanzibar viongozi wa juu wa CUF walisusia kwa madai ya kwamba haukuwa wa haki na huru, na kuwadanganya wanachama wao kuwa wataenda ICC lakini mpaka sasa hawajatoa majibu kuwa Mahakama hiyo iliwambiaje.

Cha kushangaza mwakani trh 22 January kuna uchaguzi wa marudio katika jimbo la Dimani mjini magharibi kisiwani Unguja CUF wameteua wagombea watatu ili kumpata mmoja apeperushe Bendera yao ktk uchaguzi huo.

Sasa ninyi vijana wa Ukawa kweli mna akili timamu kwanini msikosoe viongozi wenu kwa kuwapotosha? Kwa sababu Jecha mliesema hamna imani nae bado yupo ndani ya Tume na wajumbe wa Tume bado ni wale wale.

Kwa kweli ninyi ni watu wa ajabu sijawahi kuona wala kusikia katika sayari hii ya Dunia, yaani mnaruka mkoja na kukanyaga mavi!!! Ninyi hamjitambui.

By comrade
Mwita nyarukururu
Mpinga mafisadi
Tatizo lako we mwita wewe ni mtoto wa nyumba NTOBHU ndo maana huna adabu pole kwa kutojitambua
 
Unedhihirika kuwa wewe ni kilazza na hujui kitu lakini unafikiri unajua. Huu ni mfano tuu wa Vijana wengi wa Ccm walivyo.
Rudi kawaulize wenzako Uchaguzi huo wa Mbunge unasimamiwa na nani? ZEC au NEC?
Wakikujibu ndio utajua kipimo cha uelewa wako ukoje.
Ni aibu kwa mtu ambaye siku zote unakuja na hoja za kujifanya kujua wakati jambo kama hili hata ma beki tatu majumbani wanajua. Huu ni ujuha

Huyo hajui kuwa kuna wabunge wa CUF kutoka zanzibar kwenye bunge la jamhuri
 
POLENI SANA VIJANA WA CUF NA UKAWA KWA UJUMLA.

Vijana wa CUF na vyama vya upinzani kuweni makini na vyama vyenu ni vya kitapeli na kinafiki mtajikuta mnapoteza muda badala ya kutafuta chama makini Kama wenzenu akina Mchange na Machali walivyoshutuka.

Mwaka huu katika uchaguzi wa marudio Zanzibar viongozi wa juu wa CUF walisusia kwa madai ya kwamba haukuwa wa haki na huru, na kuwadanganya wanachama wao kuwa wataenda ICC lakini mpaka sasa hawajatoa majibu kuwa Mahakama hiyo iliwambiaje.

Cha kushangaza mwakani trh 22 January kuna uchaguzi wa marudio katika jimbo la Dimani mjini magharibi kisiwani Unguja CUF wameteua wagombea watatu ili kumpata mmoja apeperushe Bendera yao ktk uchaguzi huo.

Sasa ninyi vijana wa Ukawa kweli mna akili timamu kwanini msikosoe viongozi wenu kwa kuwapotosha? Kwa sababu Jecha mliesema hamna imani nae bado yupo ndani ya Tume na wajumbe wa Tume bado ni wale wale.

Kwa kweli ninyi ni watu wa ajabu sijawahi kuona wala kusikia katika sayari hii ya Dunia, yaani mnaruka mkoja na kukanyaga mavi!!! Ninyi hamjitambui.

By comrade
Mwita nyarukururu
Mpinga mafisadi
Tatizo la Mwita hajitambui kuwa yeye ni mtoto wa nyumba NTOBHU ndo huwa wana adabu dizaini hii wewe kuwaita UKAWA hawajitambui watu waliodhulumiwa dhahir bado unawaita hawajitambui duhhh
 
Akina mwita wako wengi sana kwenye kile chama. Wanaamini kwamba chama chao ni makini sana, lakini hawajui ni kwa nini kimeshindwa kupambana na umaskini wa watanzania. Wanaamini tu chama kile ni makini, ukiwauliza sana hawawezi kusema chochote zaidi ya hapo....
 
Back
Top Bottom