Poleni sana Man United

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,201
Nikiwa mpenzi mkubwa wa Arsenal, napenda kuwapa pole sana wapenzi wa Man U kwa kipigo cha pili mfululizo.walichopata muda mfupi toka kwa new castle.
 
ImageUploadedByJamiiForums1386428561.625609.jpg Hawa ni moja ya washabiki wa Man U baada ya kipigo
 
Nawatakia man u maisha mema mapya ya ligi daraja la kwanza England....the gunners tunateleza tuu......teh teh teh
 
Arsenal bwana hadi rahaaaaa..teeeeh

Hatimae na nyie mnaona raha baada ya miaka nane poa lakini na ukumbuke bado kuna mechi nyingi tu zijazo usiongelee man u pekee kwani kuna timu nyingine ngumu ...nakubali united msimu huu not for any trophy or for uefa qualification.
 
Ni bora manU wapigwe match nyingi ili Dmoyes atimuliwe huyu kochi kimeo analeta map enzi ya kaka yake fergie kwa wachezaji wasio na kiwango na kuwaweka bench Wenye viwango.Poor Moyes.ur days are numbered, sooner or later you will see yourself replaced by the like RIchkaad
 
Nawatakia man u maisha mema mapya ya ligi daraja la kwanza England....the gunners tunateleza tuu......teh teh teh

huo utelezi angalieni mwisho wa msimu msiwe mumedumbukia shimoni wandugu! Kumbuka mechi 5 tu hubadilisha msimamo mzima wa ligi! Hio teh teh teh isiwe uwii uwii uwii.....kilio!
 
Nikiwa mpenzi mkubwa wa Arsenal, napenda kuwapa pole sana wapenzi wa Man U kwa kipigo cha pili mfululizo.walichopata muda mfupi toka kwa new castle.

Asante ndugu. Tuombee mema mwakani tuwepo, maana...!
 
Huko facebook nimeyakimbia haya haya...
Naingia tu humu nakutana na huu uzi
Lol kweli Man U kubwa la maadui...
Teh teh teh....
 
Nikiwa mpenzi mkubwa wa Arsenal, napenda kuwapa pole sana wapenzi wa Man U kwa kipigo cha pili mfululizo.walichopata muda mfupi toka kwa new castle.

Sasa Natamba tu na Liverpool Yangu na Sasa ukijipendekeza tu Kwetu Unapigwa Mkono au Mkono Kutoa Moja. Msimu Tusipofanya Maajabu Sijui na Nawashauri Wapenzi Wote wa Man U Tafadhalini Hebu Hamieni Kwa Mkopo Liverpool FC.
 
Mkuu wewe ni Liverpool?! Mbona sijakuona kwenye uzi wetu kule?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom