Arsenal bwana hadi rahaaaaa..teeeeh
Ni bora manU wapigwe match nyingi ili Dmoyes atimuliwe huyu kochi kimeo analeta map enzi ya kaka yake fergie kwa wachezaji wasio na kiwango na kuwaweka bench Wenye viwango.Poor Moyes.ur days are numbered, sooner or later you will see yourself replaced by the like RIchkaadHatimae na nyie mnaona raha baada ya miaka nane poa lakini na ukumbuke bado kuna mechi nyingi tu zijazo usiongelee man u pekee kwani kuna timu nyingine ngumu ...nakubali united msimu huu not for any trophy or for uefa qualification.
Nawatakia man u maisha mema mapya ya ligi daraja la kwanza England....the gunners tunateleza tuu......teh teh teh
View attachment 125478Hawa ni moja ya washabiki wa Man U baada ya kipigo
Nikiwa mpenzi mkubwa wa Arsenal, napenda kuwapa pole sana wapenzi wa Man U kwa kipigo cha pili mfululizo.walichopata muda mfupi toka kwa new castle.
Nikiwa mpenzi mkubwa wa Arsenal, napenda kuwapa pole sana wapenzi wa Man U kwa kipigo cha pili mfululizo.walichopata muda mfupi toka kwa new castle.
Mkuu wewe ni Liverpool?! Mbona sijakuona kwenye uzi wetu kule?!Sasa Natamba tu na Liverpool Yangu na Sasa ukijipendekeza tu Kwetu Unapigwa Mkono au Mkono Kutoa Moja. Msimu Tusipofanya Maajabu Sijui na Nawashauri Wapenzi Wote wa Man U Tafadhalini Hebu Hamieni Kwa Mkopo Liverpool FC.