Poleni na mjukumu wadau, Naomba kufahamishwa kuuhu C&F ukiwa unaagiza gari nweka attachment ya picha nawasilisha

Johnkelly

Member
Nov 14, 2016
74
125
polen na mjukumu wadau jf..Naomba kufahamishwa kuuhu C&F ukiwa unaagiza gari nweka attachment ya picha nawasilisha
Screenshot_2019-04-13-11-41-25-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,402
2,000
polen na mjukumu wadau jf..Naomba kufahamishwa kuuhu C&F ukiwa unaagiza gari nweka attachment ya picha nawasilisha View attachment 1070308

Sent using Jamii Forums mobile app
C&f (Cost & Freight)

Yaani gharama ya gari pamoja na usafiri
Kwa lugha ingine, ni hharama ya gari kutoka japan mpaka kuifikisha bandari ya Dar

NOTE ;

GHARAMA HIYO, HAIJAJUMUISHA CHOCHOTE KINGINE CHA ZIADAHiyo ni bei tu ya gari kutoka Japan, hadi kukufikishia hapa nchini (Bandari ya Dar)

Kwa mujibu wa tra calculator

Gari hii ushuru wake ni

Tshs 4,191,506.55Na gharama zingine za bandari ni kama ifuatavyo

Handling
Ni $7 plus vat per cbm ( cubic meters )
Ile gari ina cubic meters 10.671

So unafanya $7*10.671 = $74.697 plus 18% VAT
Inakua = $89

So, Handling ni $89

Corridor levy $0.3 plus vat per cbm

$0.3*10.671 = $3.2013 plus 18% VAT = $4

So Corridor ni $4

Wharfage 1.6% of cif value

Ile gari c&f yake ni $2,502

So, unafanya

$2,502*1.6% = $40.032

Kwahiyo;

Handling $89
Corridor levy $4
Wharfage $40.032

Total $133.032

Na pesa ya kutolea gari bandarini 200,000 (agency fee)

So jumla ya gharama zote ni
Tshs 9,861,000 ( hadi kukabidhiwa gari mkononi bima haijajumuishwa)

Unaweza iagiza gari hii kupitia Semsella enterprises

Kwa kulipia 7,395,750 tu

2,465,250 iliyobakia utamalizia kwa awamu awamu ya hadi miezi saba

Kila mwezi 353,000

(Instalment inaanza mwezi mmoja baada ya kukabidhiwa gari)

Karibu
 
coscated

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
2,800

Mkuu umetisha, ungeweza na mawasiliano ya simu au website siku tulihitaji kuagiza tukutafute

Sent using Nokia 6
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,845
2,000
C&f (Cost & Freight)
Yaani gharama ya gari pamoja na usafiri
Kwa lugha ingine, ni hharama ya gari kutoka japan mpaka
Gari hii ushuru wake ni Tshs 4,191,506.55
So jumla ya gharama zote ni
Tshs 9,861,000 ( hadi kukabidhiwa gari mkononi bima haijajumuishwa)
Unaweza iagiza gari hii kupitia Semsella enterprises
Kwa kulipia 7,395,750 tu
Karibu
Gari kalinunua Japani kwa Tshs 5,098,518/
kwa hiyo kwa hiyo nijumlishe na jumla ipi ya TRA au hiyo ya kutolea gari ya Tshs 9.861.000 jumla iwe 15m au ni 19m ?
Msaada p.se hapo
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,845
2,000
Soma tena kwa makini, utaelewa!
Mimi sijaelewa ndio maana nimemuuliza MAGARI7
nauliza tena jamaa kanunua gari 5m Japan tena ni Corolla Model ya AE 111 ya mwaka 1999 injini 1490 ushuru ndio 4.1m sasa kulitoa bandarini ndio 5m?
huoni kagari kanafika 14m?
sasa tunamsaidia au wanunue tu wakati kwa sasa Magari km calculation hiyo yanauzwa hata kwa 6m DSM
nachotaka majibu sio nikasome kwa makini
 
Attachments

  • File size
    121.3 KB
    Views
    19

GreenCity

JF-Expert Member
May 28, 2012
5,602
2,000
Ile gari c&f yake ni $2,502

So, unafanya

$2,502*1.6% = $40.032

Kwahiyo;

Handling $89
Corridor levy $4
Wharfage $40.032

Total $133.032

Na pesa ya kutolea gari bandarini 200,000 (agency fee)

So jumla ya gharama zote ni
Tshs 9,861,000 ( hadi kukabidhiwa gari mkononi bima haijajumuishwa
Ndugu Ukwaju hebu zingatia sehemu hii ya andiko la MAGARI7
 
MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,402
2,000
Habari Ukwaju

Ni hivi , pesa ya kununulia gari jumlisha ushuru jibu utakalo pata, jumlisha na hivyo vigharama vidogo-vidogo nilivyoorodhesha
Kisha jumlisha, pesa hii ya kutolea gari (200,000)

Kama kuna ambapo hujapaelewa, naomba uniulize, nikueleweshe kadri niwezavyo, ama mwenye ufahamu zaidi atusaidie.

Karibu
N
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,845
2,000
Habari Ukwaju
Ni hivi , pesa ya kununulia gari jumlisha ushuru jibu utakalo pata, jumlisha na hivyo vigharama vidogo-vidogo nilivyoorodhesha
Kisha jumlisha, pesa hii ya kutolea gari (200,000)
Kama kuna ambapo hujapaelewa, naomba uniulize, nikueleweshe kadri niwezavyo, ama mwenye ufahamu zaidi atusaidie. Karibu
Mkuu MAGARI7 upo sahihi kabisa nitakutafuta
 
MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,402
2,000
Mkuu MAGARI7 upo sahihi kabisa nitakutafuta
Ahsante, karibu sana.

Semsella Enterprises/ecarstanzania
P.o.box 63178, Dar es salaam
Shekilango, nhc plot number 242
Block number 1,1F
Call/text/Whatsapp text us 24/7
+255745229947
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
29,280
2,000
C&f (Cost & Freight)

Yaani gharama ya gari pamoja na usafiri
Kwa lugha ingine, ni hharama ya gari kutoka japan mpaka kuifikisha bandari ya Dar

NOTE ;

GHARAMA HIYO, HAIJAJUMUISHA CHOCHOTE KINGINE CHA ZIADAHiyo ni bei tu ya gari kutoka Japan, hadi kukufikishia hapa nchini (Bandari ya Dar)

Kwa mujibu wa tra calculator

Gari hii ushuru wake ni

Tshs 4,191,506.55Na gharama zingine za bandari ni kama ifuatavyo

Handling
Ni $7 plus vat per cbm ( cubic meters )
Ile gari ina cubic meters 10.671

So unafanya $7*10.671 = $74.697 plus 18% VAT
Inakua = $89

So, Handling ni $89

Corridor levy $0.3 plus vat per cbm

$0.3*10.671 = $3.2013 plus 18% VAT = $4

So Corridor ni $4

Wharfage 1.6% of cif value

Ile gari c&f yake ni $2,502

So, unafanya

$2,502*1.6% = $40.032

Kwahiyo;

Handling $89
Corridor levy $4
Wharfage $40.032

Total $133.032

Na pesa ya kutolea gari bandarini 200,000 (agency fee)

So jumla ya gharama zote ni
Tshs 9,861,000 ( hadi kukabidhiwa gari mkononi bima haijajumuishwa)

Unaweza iagiza gari hii kupitia Semsella enterprises

Kwa kulipia 7,395,750 tu

2,465,250 iliyobakia utamalizia kwa awamu awamu ya hadi miezi saba

Kila mwezi 353,000

(Instalment inaanza mwezi mmoja baada ya kukabidhiwa gari)

Karibu
Mkuu umewezaje kupata hio kodi ya TRA Tsh. 4,191,506.55 wkt kwny screenshot ya jamaa pale juu hajasema hio ni brand gani(toyota,nissan,benz etc) wala ni model gani,imetengenezwa mwaka gani,ina CC ngapi.

Maana calculator ya TRA inataka details zote hizo nilizozitaja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
7,646
2,000
C&f (Cost & Freight)

Yaani gharama ya gari pamoja na usafiri
Kwa lugha ingine, ni hharama ya gari kutoka japan mpaka kuifikisha bandari ya Dar

NOTE ;

GHARAMA HIYO, HAIJAJUMUISHA CHOCHOTE KINGINE CHA ZIADAHiyo ni bei tu ya gari kutoka Japan, hadi kukufikishia hapa nchini (Bandari ya Dar)

Kwa mujibu wa tra calculator

Gari hii ushuru wake ni

Tshs 4,191,506.55Na gharama zingine za bandari ni kama ifuatavyo

Handling
Ni $7 plus vat per cbm ( cubic meters )
Ile gari ina cubic meters 10.671

So unafanya $7*10.671 = $74.697 plus 18% VAT
Inakua = $89

So, Handling ni $89

Corridor levy $0.3 plus vat per cbm

$0.3*10.671 = $3.2013 plus 18% VAT = $4

So Corridor ni $4

Wharfage 1.6% of cif value

Ile gari c&f yake ni $2,502

So, unafanya

$2,502*1.6% = $40.032

Kwahiyo;

Handling $89
Corridor levy $4
Wharfage $40.032

Total $133.032

Na pesa ya kutolea gari bandarini 200,000 (agency fee)

So jumla ya gharama zote ni
Tshs 9,861,000 ( hadi kukabidhiwa gari mkononi bima haijajumuishwa)

Unaweza iagiza gari hii kupitia Semsella enterprises

Kwa kulipia 7,395,750 tu

2,465,250 iliyobakia utamalizia kwa awamu awamu ya hadi miezi saba

Kila mwezi 353,000

(Instalment inaanza mwezi mmoja baada ya kukabidhiwa gari)

Karibu
Nimekubali sana mkuu,hapo port charges haipo au ndio ipo kwenye hizo handling na corridor charges?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom