Pole sana Mh.Magufuli kwa msiba wa binti yako

Status
Not open for further replies.

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Napenda kuipa pole za dhati familia ya mpambanaji,asiye mnafiki,mchapakazi Mh.John Pombe Magufuli kwa msiba wa binti yake Juliana John Magufuli 16,aliyefariki tarehe 21.08.2010 ,na anatarajiwa kuzikwa leo huko Chato Biharamulo. Ningekuwa na namba yake ya simu ningempigia kumpa pole kwa msiba huo mzito
 
mpigie kwa ofisi yake watakupa mobile namba yake nawe umfariji kwa pole ktk kipindi kigumu kwake.
2861910
 
Napenda kuipa pole za dhati familia ya mpambanaji,asiye mnafiki,mchapakazi Mh.John Pombe Magufuli kwa msiba wa binti yake Juliana John Magufuli 16,aliyefariki tarehe 21.08.2010 ,na anatarajiwa kuzikwa leo huko Chato Biharamulo. Ningekuwa na namba yake ya simu ningempigia kumpa pole kwa msiba huo mzito

....R.I.P Juliana ........BWT .....16 yrs, she was very very young...what is the cause of her death?
 
Pole Mkuu Bwana Magufuli.....Bwana amatoa na bwana ametwaaa....Jina Lake Lihimidiwe.
 
pole kwa wafiwa............mungu awape nguvu ya kukabiliana na msiba huo mzito
 
RIP Juliana..........Mzee Magufuli ni mipango ya Mungu na binadamu haiwezi kuitengua. Tuko pamoja
 
Pole sana ndugu yangu J Pombe Magufuli. Kama nikipewa fursa ya kumchagua mtu mmoja aingie kwenye serikali ya Dr. Slaa, ningelifanya hivyo nikijua hautatuangusha.

Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu binti yako. Amen
 
Pole sana mtumishi mtiifu wa Watanzania...Mungu amempenda zaidi Juliana
 
Pole Dokta wa kweli wa kuusomea, sio wa kupewa kama wengine...Pole mkuu.

Naamini hujamtoa kafara kwa jili ya uchaguzi..pole kwa kipindi hiki kigumu cha msiba.
 
Napenda kuipa pole za dhati familia ya mpambanaji,asiye mnafiki,mchapakazi Mh.John Pombe Magufuli kwa msiba wa binti yake Juliana John Magufuli 16,aliyefariki tarehe 21.08.2010 ,na anatarajiwa kuzikwa leo huko Chato Biharamulo. Ningekuwa na namba yake ya simu ningempigia kumpa pole kwa msiba huo mzito

R.I.P. Juliana. Kazi ya Mungu haina Makosa. Bwana ametoa bwana ametwaa na Jina lake Mungu lihimidiwe.
 
Pole sana Mh John Magufuli kwa msiba wa binti yako tuko pamoja nawe katika kipindi hiki kigumu kwako.

Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lA BWANA Lihimidiwe
 
....R.I.P Juliana ........BWT .....16 yrs, she was very very young...what is the cause of her death?

Walitangaza kuwa amefariki kutokana na Malaria...

May her soul rest in eternal Peace...

Poleni sana wafiwa wote, Mungu awape Nguvu
 
pond!!!

amefariki binti inatosha... naona sasa wewe unaanza kutaka hadithi ndefu
......unajua mzee wa DOCEBIT VOS OMNIA.....kuna issue nyingi sana ss hivi....uchaguzi (kama unanisoma)...na madikodiko kibao....so better kujua vizuri haya mambo yanavoenda......! BWT ....Nimekusoma mkubwa....! RIP Binti!

Siku yake ilifika........ ukianza kuulizauliza utawaza ya kibinadamu.

....Astarehe kwa amani.......!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom