Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
Nichukue fursa hii kutoa salaam za Pole kwa Makamu Mwenyekiti wa Nccr Mageuzi Mama Leticia Ghati Mosore kwa kufiwa Leo usiku na Mumewe katika hospital ya MUHAS Mloganzila Jijini Dar es salaam.
Mungu akutie nguvu wewe na familia yako katka wakati huu mgumu.
Mungu akutie nguvu wewe na familia yako katka wakati huu mgumu.