Pole paapaa zahera: Simba walivyohusika yanga kufungwa na lipuli leo

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Paapaaa mutu ya watu zahera,ni mutu mukubwa sana UEFA inamujuya kabisa, kawa mikurugenzi wa ufundi wa Paris saint german PSG kabla ya kugombana na Edson cavan akaamua kujiuzulu ,sasa yupo hapa kwetu simba wanamfanyia fitna kubwa sana
Pole papa zahera,leo simba waliwapa lipuli zile sumu za kupulizia chumbani nashangaa ulisahau zile masks ulizowapa as vita ,ungeenda nazo iringa
Kingine kikubwa hiyo milioni 15 ya ahadi ya lipuli kwa wachezaji wake kwamba wakishinda watapewa imetoka kwa simba..USIKUBALI PAPAAAA SEMA KWA MAJANALISTE WAJULISHE WANANCHI, WAKUMBUSHE JINSI WEWE ULIVYOFUNDISHA YUROPU NA MBINU CHAFU ULIZOFANYIWA LEO.
 
Tatizo la vyura wamekalia kuisema Simba huko hawana strategic plan juu ya team yao ndo kitu kinacho waua
 
Back
Top Bottom