Mumeo alishafariki!!!!!
kufiwa ni kitu kigum sana na katu hakitozoeleka kamwe .........o sad
hamna haja ya kukufuru sana zaidi kumuombea marehem mema
huko aendako
Ndio kafiwa na mumeweKwani kafiwa na mumewe?
RIP Jaffary Ally pole sana mama khadija sipati picha uchungu ulionao.
yaani haya mambo ni magumu sana....Mumeo alishafariki!!!!!
kufiwa ni kitu kigum sana na katu hakitozoeleka kamwe .........
hamna haja ya kukufuru sana zaidi kumuombea marehem mema
huko aendako
Kwa kweli pole sana mama
Tunakuombea sana kwa Mungu akufute machozi haya....
RIP husband wako
ndio huyo huyo kijana....ni yule mume wake kijana?soo sad ujue
ndo huyo baada ya regan sio?ndio huyo huyo kijana....
maana nimeona picha yao ndo nikaona huyu hapa
atakuwa huyo huyo.....ndo huyo baada ya regan sio?
so sad kwa kweliatakuwa huyo huyo.....
la maana ni kumwombea tu.......so sad kwa kweli
halafu hadija mama malkia alikuwa amekufa ameoza...alikuwa anakaba kweli kweli
tumuombee tu faRAJA
yaani haya mambo ni magumu sana....
Ni kuombeana tu kwa kweli
huyu mume ndo alitupiga marufuku na vikarolat vyetu?
daah nampenda kweli huyu mama kwa kweli
s