Pole mama khadija kopa

MamaBeata

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
325
112
Mama khadija nakuhurumia kwa jinsi mlivokua mmeshibana na mumeo, na jinsi ulivokua ukimrusha hewani kila wimbo. Mume anauma, sisi wenye waume tunajua. Uchungu wa mume hakuna mfanowe, pole mama!
 
Mumeo alishafariki!!!!!

kufiwa ni kitu kigum sana na katu hakitozoeleka kamwe .........
hamna haja ya kukufuru sana zaidi kumuombea marehem mema
huko aendako
 
Wangu hajafariki ila ule uchungu ambao huupata kama akiumwa, akisafiri, akiteseka huwa unauma sasa sipati picha kama akifa, Mungu aepushie mbali
 
huyu mume ndo alitupiga marufuku na vikarolat vyetu?
daah nampenda kweli huyu mama kwa kweli
s
Mumeo alishafariki!!!!!

kufiwa ni kitu kigum sana na katu hakitozoeleka kamwe .........o sad
hamna haja ya kukufuru sana zaidi kumuombea marehem mema
huko aendako
 
Kwa kweli pole sana mama
Tunakuombea sana kwa Mungu akufute machozi haya....
IMG_7554.JPG

RIP husband wako
 
Du kweli asiye na Bahati habahatishi! kihisroria alikuwa akiolewa ndoa haidumu kwamadai kwamba walikuwa hawaendani kifupi walikuwa wakimzingua nae anawazingua akapata waliepatana nae anafariki tena bila hata kuacha mtoto naye MASIKINI KIJANA WA WATU!!behind death is something wrong!tupeni sababu za kifo chake isiwe rahisirahisi iviivi.Wadau tujue ili tuchangie kwa kina .Too young to DIE!
 
huyu mume ndo alitupiga marufuku na vikarolat vyetu?
daah nampenda kweli huyu mama kwa kweli
s

mi mwenyewe nampendaga....
maana tangu nakua namsikiaga tu......

mwenzio incident ya vikarolite hata sikumbuki .....,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom