Pole kwa kuongoza taifa la watu wanafiki

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,290
1,475
RIP Mr President

Hakika taifa uliloliongoza nila watu wanafiki.

Ajabu sana watu waliokuwa wanakupgia kampeni uongoze milele leo wanakusema vibaya kwa ajili ya maslahi yao binafsi.

Ajabu sana kuona wale wanyonge uliowaongoza leo hawataki kuitwa mnyonge.

Bila hata aibu mpaka maendelo uliyaacha yameshakuwa kikwazo mengine wanasema kuwa hata stend ya magufuli itaweka foreni.

Lakini tu nakumbusha watanzania kumbukeni ya Libya, najua walibya saivi wanajuta kwanini walimpoteza Mohamed, wanasiasa wasije kuwaponza.

Hivi nyie ndo mlikuwa mnataka Magu atawale milele

Ni kweli nyie ndo mlimlilia wakat wa wa mauti

Duh kweli Watanzania wanafki, ndo maana mataifa mengine huwa hayawaaamni kwasababu ya unafki.

RIP THE WORLD PRESIDENT
 
Kwaakili hizi ndio maana Congo imebaki takataka kabisa. Mbona Diaspora wa Ufaransa wana akili wewe akili zilienda wapi?
 
Msiba wa mtu yeyote hata usiempenda unaleta huzuni.

Wote tuliohuzunika haina maana tulimpenda. Ila tulihuzunika amekufa bila kuyaona makosa yake.

Wengi tulitaka aishi akiwa Rais mstaafu

Ili aone makosa yake, na akosolewe akiwa hai

Maisha aliyoishi kama Rais yalikuwa maisha bandia ya kusifiwa na kupambwa hata na watu wasiompenda..
 
Pole sana mnafk
Mkuu umepewa hifadhi kwenye taifa linaloheshimu UTU na UBINADAMU. Nawewe jifunze kuheshimu UTU na UBINADAMU. Magufuli hakuwa mtu walabinadamu.

Hta kama Magu angeshusha mbingu,angemshushia nani wakatui watu ndio hao alikuwa anafyeka mmoja baada ya mwingine. Hiyo nchi unamjengea nani?

1618207519575.png


1618207545883.png


1618207654667.png
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom