Pole Joseph Kusaga kwa ajali !Mungu awaponye na mwenzio alieumia wa gari nyingine

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Ndugu zangu rafiki zangu wa clouds fm,polen sana kwa ajali Joseph Kusaga hapo kona ya clouds.

Ni wakati wa kuomba Mungu awaponye na kuwapa nguvu wote walioumia.

Ni furaha yetu kuona mkirudi tena kuendesha gurudumu la kuendeleza jamii.

zab 118:17
hatutakufa bali tutaishi tukiyasimulia makuu ya bwana
 
kona ya cocacola???hapa ajali huwa haziishi...
 
Hakuwa na ruge? Pona haraka mnyonyaji wa wasanii bongo na mmiliki wa radio inayochochea upunga
 
Pole Kusaga,japokuwa clouds imechakachuliwa siku hizi na nimepoteza interest.nayo lakini naamin wewe ni mtu mzuri na unastahili kuendelea kutumikia jamii.Mungu akuponye kaka
 
Kila la Kheir MWENYEZIMUNGU awaponye na kuwatia Nguvu ya kuendelea kuwapa Uthubutu vijana!
 
Fafanua ajari ilitokeaje? Hali zao zikoje? Wako wapi kwa sasa?
 
Ndugu zangu rafiki zangu wa clouds fm
polen sana kwa ajli ya br wetu joseph kusaga hapo kona ya clouds
ni wakati wa kuomba mungu awaponye na kuwapa nguvu wote walioumia
ni furaha yetu kuona mkirudi tena kuendesha gurudumu la kuendeleza jamii

zab 118:17
hatutakufa bali tutaishi tukiyasimulia makuu ya bwana

Mkuu Hali zao vipi?tupiamo na kapicha kagari mungu awaponye haraka
 
Hakuna asiyejua unazi wa clouds fm kwa cha twawala, ila kwa ajali aliyopata bwana Kusaga nampa pole sana na m'mungu amponye ili arejee kwenye majukumu yake kama kawaida.
 
fafanua ajari ilitokeaje? Hali zao zikoje? Wako wapi kwa sasa?
wafanyakazi wa mwananchi uhuru jambo leo tanzania daima mfanyakazi [enzi hizo kama lingekuwepo watakula wapi ukimezeshwa vyote hivi mkuu namaanisha kesho nani atanunua gazeti hapo juu kama ukipwe yoote haya
 
Back
Top Bottom