Elections 2010 Pole Dr.Slaa

mbea

Member
Oct 12, 2010
97
1
Pole sana Dr. Slaa kwa kushindwa lakini inakubidi ukubali matokeo na kama umeonewa basi nenda kwenye tume ili uweze kufungua mashtaka.

Licha ya kupigiwa debe na baadhi ya makanisa uchwara yasiyo na tija kwa watz pamoja na asasi zinazojiita za kiraia badala ya kusema ukweli ni za kidini(angalia logo zao kuna alama ya msalaba +)we mzee umeangukia pua na sasa una jukumu la kulipa mapesa ya hao walioingia nawe mikataka feki iwapo ungebahatika kukalia kiti cha ikulu.

Hongera sana Dr. Jakaya kwa kuibuka tena kidedea hongera pia wote mliofanikiwa kupita katika vyama mbalimbali big up sana tume ya uchaguzi in my side matokeo yamekuwa mazuri niliowachagua wote wamepita sasa kazi kwenu kutekeleza yote mliyotuahidi yetu macho kusubiri utekelezaji.

Napenda kuwapa pongezi wana jamii wote kwani walionyesha wapo kwa bob Sila lakini wamempigia kura JK na wengine walikuwa wanarandaranda mitaani bila ya kupiga kura kwani walielewa dhati kuwa mgombea wao hauziki kwa watu wenye akili timamu isipokuwa kwa mapunguani tuu.

Sasa uchaguzi umekwisha na Jk tena anatinga ikulu kama Ben,tushirikiane naye kuwapiga vita mafisadi sisi tuliondani ya utawala na nyie mnaopiga makelele.
Mungu mkubwa kwani kwake kila kitu kinawezekana naye ndiye anayehubiri amani kwa yule asiyetaka amani anaruhusiwa kuhama nchi na aende Somalia!

Nakaribisha matusi kwa wale wasiojiheshimu na wasio na sera za kueleweka(hawajaelimika ila wamemaliza madarasa hadi kuua walimu tuu).
 
Acha umbea!! Hayakuhusu!! Mbona sisi hatuongelei mikataba aliyoingia Kikwete na mfalme wa saudi arabia pamoja na Osama bin Laden kumuwezesha kupata hizo bilioni hamsini za kampeni?
 
Hata wewe Lukolo!Mbona unaheshima sana katika jamii sasa wataka kujivunjia!Acha hizo mkuu.
 
pole dr.slaa pole sana ndiyo ukubwa huo...........! aaa au alidhani atachuua kimdebwedo kama alivyomchukua mke wa mtu?
 
Hata wewe Lukolo!Mbona unaheshima sana katika jamii sasa wataka kujivunjia!Acha hizo mkuu.

Kwani ni uongo kwamba wewe ni mbea? Hiyo mikataba aliyoingia slaa na makanisa na mashirika yenye alama ya misalaba ni ipi? Unaweza kutuletea ushahidi wowote? Kwanini hujaongelea safari za familia ya mfalme wa Arabia hapa nchini? Walikuwa wanafuata nini kabla ya uchaguzi kama si ndiyo walikuwa wanatiliana saini na Kikwete ili amakatie kipande kimoja cha nchi, yeye ampe mabilioni ya kampeni?

Ametoa wapi mabilioni mengi hivyo kwaajili ya kampeni? Nina ushahidi kwamba jimboni kwangu wametumia zaidi ya bilioni moja kuhakikisha wanashinda. Sasa kuna majimbo mangapi nchini? Unafikiri kwa jumla watakuwa wametumia bilioni ngapi kukamilisha huu uchaguzi?

Acha hizo mbea, Kikwete amenunua Urais kutoka kwa watanzania maskini wasiojua thamani ya kura yao, na si kweli kwamba ameshinda kihalali!
 
Pole sana Dr. Slaa kwa kushindwa lakini inakubidi ukubali matokeo na kama umeonewa basi nenda kwenye tume ili uweze kufungua mashtaka.

Licha ya kupigiwa debe na baadhi ya makanisa uchwara yasiyo na tija kwa watz pamoja na asasi zinazojiita za kiraia badala ya kusema ukweli ni za kidini(angalia logo zao kuna alama ya msalaba +)we mzee umeangukia pua na sasa una jukumu la kulipa mapesa ya hao walioingia nawe mikataka feki iwapo ungebahatika kukalia kiti cha ikulu.

Hongera sana Dr. Jakaya kwa kuibuka tena kidedea hongera pia wote mliofanikiwa kupita katika vyama mbalimbali big up sana tume ya uchaguzi in my side matokeo yamekuwa mazuri niliowachagua wote wamepita sasa kazi kwenu kutekeleza yote mliyotuahidi yetu macho kusubiri utekelezaji.

Napenda kuwapa pongezi wana jamii wote kwani walionyesha wapo kwa bob Sila lakini wamempigia kura JK na wengine walikuwa wanarandaranda mitaani bila ya kupiga kura kwani walielewa dhati kuwa mgombea wao hauziki kwa watu wenye akili timamu isipokuwa kwa mapunguani tuu.

Sasa uchaguzi umekwisha na Jk tena anatinga ikulu kama Ben,tushirikiane naye kuwapiga vita mafisadi sisi tuliondani ya utawala na nyie mnaopiga makelele.
Mungu mkubwa kwani kwake kila kitu kinawezekana naye ndiye anayehubiri amani kwa yule asiyetaka amani anaruhusiwa kuhama nchi na aende Somalia!

Nakaribisha matusi kwa wale wasiojiheshimu na wasio na sera za kueleweka(hawajaelimika ila wamemaliza madarasa hadi kuua walimu tuu).

Ondoa ugwadu wako hapa. Dr. Slaa hana haja na pole yako. Uwape pole Watanzania ambao wataendelea kuongozwa na mtu ambaye hawajamchagua wala hawamwungi mkono. Kwa taarifa yako tunajua haki ya Watanzania imeporwa na haki ya mtu haipotei bure mbele ya Mungu.

Tafadhali ukome kumhusisha Dr. Slaa na kanisa lolote. Usidhani wote hatuelewi kama unavyodhani. Hizo zilikuwa mbinu za CCM kumchafua Dr. Slaa na sasa naona bado unakuja na wimbo ambao ulishaondoka kwenye chati.
 
Pole sana Dr. Slaa kwa kushindwa lakini inakubidi ukubali matokeo na kama umeonewa basi nenda kwenye tume ili uweze kufungua mashtaka.

Licha ya kupigiwa debe na baadhi ya makanisa uchwara yasiyo na tija kwa watz pamoja na asasi zinazojiita za kiraia badala ya kusema ukweli ni za kidini(angalia logo zao kuna alama ya msalaba +)we mzee umeangukia pua na sasa una jukumu la kulipa mapesa ya hao walioingia nawe mikataka feki iwapo ungebahatika kukalia kiti cha ikulu.

Hongera sana Dr. Jakaya kwa kuibuka tena kidedea hongera pia wote mliofanikiwa kupita katika vyama mbalimbali big up sana tume ya uchaguzi in my side matokeo yamekuwa mazuri niliowachagua wote wamepita sasa kazi kwenu kutekeleza yote mliyotuahidi yetu macho kusubiri utekelezaji.

Napenda kuwapa pongezi wana jamii wote kwani walionyesha wapo kwa bob Sila lakini wamempigia kura JK na wengine walikuwa wanarandaranda mitaani bila ya kupiga kura kwani walielewa dhati kuwa mgombea wao hauziki kwa watu wenye akili timamu isipokuwa kwa mapunguani tuu.

Sasa uchaguzi umekwisha na Jk tena anatinga ikulu kama Ben,tushirikiane naye kuwapiga vita mafisadi sisi tuliondani ya utawala na nyie mnaopiga makelele.
Mungu mkubwa kwani kwake kila kitu kinawezekana naye ndiye anayehubiri amani kwa yule asiyetaka amani anaruhusiwa kuhama nchi na aende Somalia!

Nakaribisha matusi kwa wale wasiojiheshimu na wasio na sera za kueleweka(hawajaelimika ila wamemaliza madarasa hadi kuua walimu tuu).

This is another wicked supporter of falsehood, No wonder Like father like son, your favorite candidate JK, Shamelessly chose to support Fraudsters like Mramba, and the father of Ufisadi from Igunga who do not even deserve an honor of having his name written here, but let you and your criminal gangs know this you may run but you can't hide, the nation is changing and sooner enough you will have to pay the price, right here on earth or later in hell if you wont repent and turn to Gods free forgiveness, as for Dr Slaa, he remains dearly loved in the hearts of true patriots of this great nation, and may you also be reminded that the battle may have been lost but make no mistake the war is still on and the forces of righteousness, honor and sanity Lead by Dr Slaa will eventually prevail against forces of wickedness, shame and madness of which you and fellow co-horts seems to belong.
just Free advice, get more demons from your protector (sheikh yahya) to reinforce your cracking spiritual defence or else gird your loins, stand your ground and get burned!!!!

Kimbia kimbia mafisadieeeeee, kimbia kimbia nyuma yenu moto unawakaeeee kimbia kimbia kimbia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unadhani ni nani atakutukana zaidi ya yote tunakupuuza sababu ni wazi una mawazo mgando na kichwa kibovu na si zaidi haya sherehekeeni matokeo ya wizi wenu, nyambaaaaaaaaaf.
 
Pole sana Dr. Slaa kwa kushindwa lakini inakubidi ukubali matokeo na kama umeonewa basi nenda kwenye tume ili uweze kufungua mashtaka.

Licha ya kupigiwa debe na baadhi ya makanisa uchwara yasiyo na tija kwa watz pamoja na asasi zinazojiita za kiraia badala ya kusema ukweli ni za kidini(angalia logo zao kuna alama ya msalaba +)we mzee umeangukia pua na sasa una jukumu la kulipa mapesa ya hao walioingia nawe mikataka feki iwapo ungebahatika kukalia kiti cha ikulu.

Hongera sana Dr. Jakaya kwa kuibuka tena kidedea hongera pia wote mliofanikiwa kupita katika vyama mbalimbali big up sana tume ya uchaguzi in my side matokeo yamekuwa mazuri niliowachagua wote wamepita sasa kazi kwenu kutekeleza yote mliyotuahidi yetu macho kusubiri utekelezaji.

Napenda kuwapa pongezi wana jamii wote kwani walionyesha wapo kwa bob Sila lakini wamempigia kura JK na wengine walikuwa wanarandaranda mitaani bila ya kupiga kura kwani walielewa dhati kuwa mgombea wao hauziki kwa watu wenye akili timamu isipokuwa kwa mapunguani tuu.

Sasa uchaguzi umekwisha na Jk tena anatinga ikulu kama Ben,tushirikiane naye kuwapiga vita mafisadi sisi tuliondani ya utawala na nyie mnaopiga makelele.
Mungu mkubwa kwani kwake kila kitu kinawezekana naye ndiye anayehubiri amani kwa yule asiyetaka amani anaruhusiwa kuhama nchi na aende Somalia!

Nakaribisha matusi kwa wale wasiojiheshimu na wasio na sera za kueleweka(hawajaelimika ila wamemaliza madarasa hadi kuua walimu tuu).

Mhh kweli wewe mbea, no more comments.
 
Mimi wakati mwingine huw watu siwaelewi point zao zimelalia wapi!!! Hivi wewe kweli ukiangalia CCM unasema kuna inachofanya? Mfano mdogo jamaa anasema anataka kuanzisha bank ya wakulima!!!!!! CRDB ilikuwa ya nani? Sababu za kuwa hivi ilivyo zinajulikana? Je hiyo itakayo anza tunauhakika gani haiatakuja kuwa kama CRDB? Eti tanga liwe jiji la viwanda!!! Hivyo vilivyokuwepo vilienda wapi? Nani alivifilisi sini ni CCM na watendaji wake?

Acheni ushabiki wa kitoto fanyeni mambo yakueleweka hatuko hapa kujadili MM tuko hapo kujadili mustakabali wa taifa.
 
Hakuna haja ya kumpa dr. Slaa pole kwani ni mshindi, ameshinda kwa kishindo, amefanya yaliyowashinda wengi katika hii nchi lazima credit yake tumpe.
 
Kwanza huyo JK unamwita Dr, atuletee vyeti tuone amesomea nini! Watu kama ninyi mlokalia kuwa mashabiki wa siasa ni bora mkafa, ili tuokoe wengi kutoka lindi la umaskini, maradhi na ujinga! JK sio rais wa Watanzania wa kawaida, ni Rais wa MAFISI oh no mafisadi!
 
Nikiona mtu anaishabikia CCM naona kama vile anatatizo flan hivi, yaani kweli hapa nchi ilipopelekwa mnaona ni sawa?? tulistahili kweli kua hapa tulipo? kwanini hamfikirii mbali kidogo. mimi si mshabiki wa SLAA wala JK mi ni mzalendo na namshabikia mwanamapinduzi na mwenye kutaka kuleta mageuzi ya kweli, THE REST ni upuuzi
 
Huyu anayesema Pole DR. zuzu nini ? Kumbuka Shangilai alivyofanywa Kule Zimbabwe na pia we kisime kumbuka Laila Odinga ilivyokuwa pale Kenya. Utaona viongozi wa kiafrika hufanya uchaguzi wakijua kuwa vyovyote wanarudi madarakani hata kama wananchi hawawataki kama hiki chama cha majambazi . Lakini mtu akigangamala kinaeleweka tu .Cheki kule Harare Shangilie yuko Serikani na Kenya Laira ni PM .
 
Nyanda zajuu wengi wapumbavu wa akili,vip nchi tuipeane kwa mtu anayetuhumu wenzake kwa ugaidi n hasira kibao,kama kweli yeye mkomavu kisiasa angehudhuria KARIMJEE N UHURU,Ucje ukaweza biashara ya rejareja yaani Bungeni then ukadhani kupewa nchi jambo rahisi,sasa SLAA Kakosa kote,hata Lipumba kampiku bungeni,Slaa rudi jimboni 2 Uchukue jimbo lako la KARATU, ISIPOWEZEKANA OMBA MSAMAHA KWA KANISA URUDIE UPADRI,MAANA HATA MKE HUNA ILA WAKUAZIMA
 
Nikiona mtu anaishabikia CCM naona kama vile anatatizo flan hivi, yaani kweli hapa nchi ilipopelekwa mnaona ni sawa?? tulistahili kweli kua hapa tulipo? kwanini hamfikirii mbali kidogo. mimi si mshabiki wa SLAA wala JK mi ni mzalendo na namshabikia mwanamapinduzi na mwenye kutaka kuleta mageuzi ya kweli, THE REST ni upuuzi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom