Poleee dear ex mwenzako nipo salamaa,
Mambo ya mastress nishasahau hizo zamaa,
Alafu sizeeki nadekezwa utadhani mwana,
Tena mchoyo hakiombeki penzi sio la kugawana,
Ujinga wakuombana password za JF kwa sasa hakunaa
we bidada adimu sanaaa
Wazee wa tabata magengeniiNa tunaonunua telegram tunakomenti wapi?